NBA - Los Angeles Lakers v Oklahoma City Thunder 


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Los Angeles Lakers v Oklahoma City Thunder 

Crypto.com Arena
Los Angeles, USA
Saturday, 25 March 2023 
04h30 
 
Los Angeles Lakers itakabiliana na Oklahoma City Thunder kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Machi 25.
 
Takwimu baina ya timu hizi 
 
Huu utakuwa ni mchezo wa 263 baina ya timu hizi katika ligi ya NBA tangu mwaka 1967 ambao ni mwaka ilipoasisiwa the Thunder. 
 
The Lakers wameshinda michezo 152 waliyoshiriki dhidi ya the Thunders, huku the Thunder wakishinda michezo 110 kutokana na michezo 262. 
 
Mechi ya mwisho baina timu hizi 
 
Dennis Schroder aliipatia Lakers alama 26 na kuchangia zingine 6 timu yake ilipoibuka na ushindi wa 123-117 dhidi ya the Thunder mnamo Machi 2 2023. 
 
Mchezo huo ulisakatwa kwenye ukumbi wa the Paycom Center.
 
Athari za matokeo ya mechi hiyo.  
 
Matumaini ya The Lakers kufuzu mechi za mchujo yangali hai kwani wanashikilia nafasi ya 11 kwenye michezo ya Western Conference baada ya kushinda mechi 35 na kupoteza mechi 37.
 
Kama ilivyo kwa the Lakers, the Thunder wana matumaini ya kufuzu mechi za mchujo kwani wapo katika nafasi ya 9 kwenye michezo ya Western Conference baada ya ushindi wa mechi 35 na kushindwa mechi 36.
 
Wachezaji muhimu
 
Troy Brown Jr. aliwafungia the Lakers alama 19 kwenye mechi ya Machi 2 walipoibuka na ushindi dhidi ya the Thunder na umahiri wake unatazamiwa sana iwapo Los Angeles watapata ushindi.
 
Mchezaji nyota wa the Thunder Jalen Williams alifunga alama 24 na kusaidia alama nyingine 7 kwenye mchezo huo dhidi ya Lakers na juhudi zake zitahitajika pakubwa iwapo timu hiyo kutoka Oklahoma itapata ushindi.

Jalen Williams
Hakimiliki ya picha: Getty Images


Nukuu
 
“Kigezo kikubwa cha kukuza timu ni mechi za ugenini,” alisema kocha wa Thunder Mark Daigneault kuelekea michezo ya ugenini ukiwemo huu dhidi ya the Lakers.
 
“Nafurahi kucheza ugenini. Ni mtihani mkubwa. Ni nafasi ya kupima uwezo wako.
 
"Nahisi mechi za ugenini, bila kujali unashinda au unapoteza zinaleta mshikamano zaidi kwa sababu umakini unakuwa mkubwa,” aliongezea.
 
“Utakuwa mtihani mkubwa kwetu wiki hii.”
 

Ratiba ya mechi za – tarehe 25 na 26 Machi

 
Machi 25 Jumamosi

02:00am - Boston Celtics v Indiana Pacers
02:00am - Washington Wizards v San Antonio Spurs
02:30am - Toronto Raptors v Detroit Pistons
03:00am - Memphis Grizzlies v Houston Rockets
03:30am - Dallas Mavericks v Charlotte Hornets
04:00am - Utah Jazz v Milwaukee Bucks
05:00am - Golden State Warriors v Philadelphia 76ers
05:00am - Portland Trail Blazers v Chicago Bulls
05:00am - Sacramento Kings v Phoenix Suns
05:30am - Los Angeles Lakers v Oklahoma City Thunder
12:00pm - Atlanta Hawks v Indiana Pacers

Machi 26 Jumapili

03:00am - Miami Heat v Brooklyn Nets
04:00am - Denver Nuggets v Milwaukee Bucks
05:00am - Phoenix Suns v Philadelphia 76ers
05:00am - Sacramento Kings v Utah Jazz
05:30am - Los Angeles Clippers v New Orleans Pelicans
8:00pm - Charlotte Hornets v Dallas Mavericks
10:30pm - Los Angeles Lakers v Chicago Bulls
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 03/24/2023