Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 FIA Formula One World Championship
2022 Saudi Arabian Grand Prix
Jeddah Corniche Circuit
Jeddah, Saudi Arabia
Sunday, 27 March 2022
Dereva wa langalanga wa Ferrari Charles Leclerc anatazamia kushinda kwa mara ya pili mfululizo mbio za magari za
Saudi Arabian Grand Prix msimu wa 2022 wa Formula One Jumapili ya Machi 27.
Wikendi iliyopita, mzawa huyo wa Monocan aliibuka na ushindi katika mbio za Bahrain Grand Prix na kumpiku dereva mwenza Carlos Sainz wa Ferrari aliyechukua nafasi ya pili. Hii ni mara yake ya kwanza kumaliza nafasi ya juu katika mbio 46.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Ulikuwa ni ushindi wa tatu wa Leclerc wa Formula One, na wa kwanza tangu mwaka 2019 aliposhinda mbio za Belgian Grand Prix na Italian Grand Prix zikifuatanza.
Msimu uliopita, dereva huyo mwenye umri wa miaka 24 alimaliza katika nafasi ya saba kwenye jedwali la waendeshaji baada ya kumaliza mara moja tu katika nafasi za jukwaani, alipochukua nafasi ya pili katika mbio za British Grand Prix.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Leclerc, anayeongoza mashindano hayo kwa alama 26 baada ya kuwa na mzunguko wa kasi zaidi wa Sakhir, amekiri kuwa timu yake ilianza vizuri mashindano yam waka huu.
"Nimefurahishwa sana na miaka miwili iliyopita ambayo imekuwa migumu sana kwa timu hii, hasa kwangu na Carlos mwaka jana,” alisema.
"Ilitubidi kupambana zaidi. Kushuhudia bidii yetu ikilipwa baada ya miaka miwili ya juhudi nyingi ilitupa faraja sana.
"Kwa kweli muda huu tumeanza vizuri sana; tunaongoza katika jedwali, tulipata ushindi, tulikuwa na mzunguko wa kasi zaidi, timu yetu ilichukua nafasi ya kwanza na pili. Ni mwanzo mzuri tulioutamani.”
Matokeo ya Bahrain Grand Prix 2022
Mshindi: Charles Leclerc - Ferrari
Nafasi ya pili: Carlos Sainz - Ferrari
Nafasi ya tatu: Lewis Hamilton - Mercedes
Bashiri Motosport na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni soka, motorsport, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.