Hakimiliki ya picha: Getty Images
Memphis Grizzlies v New York Knicks
2021-22 NBA Regular Season
Saturday 12 March 2022
FedExForum, Memphis, Tennessee
Tip-off at 04:00
The Memphis Grizzlies inapania kupata ushindi mara mbili mfululizo dhidi ya New York Knicks wakiwa nyumbani, FedExForum watakapo kutana Machi 12 Jumamosi asubui katika mechi ya
NBA.
The Grizzlies wapo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Western Conference na walikuwa katika msururu wa wa mechi kumi na moja bila kushindwa miezi ya Disemba na Januari hadi ulipokatishwa na Dallas Mavericks.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vijana wa Taylor Jenkin waliishinda New Orleans Pelicans 132-111 kule Memphis Jumatano Machi 9, huku Ja Morant na Desmond Bane wakifunga vikapu 24 na 22 mtawalia.
"Cha kushangaza ni kuwa, yeye hujituma sana ili kuweza kufunga kwa njia tofauti,” alisema Jenkins akimzungumzia Bane. “Kila anaporusha mpira kwenye kikapu, nina imani asilimia kubwa atafunga.”
Kwa upande mwingine, The Knicks hawajafanikiwa kushinda zaidi ya michezo mitatu mfululizo msimu huu, mafanikio ambayo wamepata mara tatu tu. Wameshindwa mechi 38 na sasa wapo katika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa Eastern Conference.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Julius Randle alikuwa katika hali nzuri kabisa Jumanne, Machi 8 na kuisaidia timu yake kushinda Sacramento Kings 131-115 wakiwa ugenini.
"Julius alikuwa na mchezo mzuri na alifanya mambo makubwa,” kocha wa Knicks Tom Thibodeau alisema. “Anapokuwa na mchezo mzuri kama huo, anainua motisha ya wachezaji wenzake.
"Kwa ujumla, mchezo wake ulikuwa mzuri kabisa kuanzia kufunga, kutafuta mpira tulipoupoteza na katika maeneo mengine ya mchezo.”
The Grizzlies waliibuka na ushindi wa 120-108 timu hizo zilipokutana mwezi jana katika ukumbi wa Madison Square Garden. Jaren Jackson Jr. alichangia alama 26 kwenye mchezo huo.
Memphis Grizzlies dhidi ya New York Knicks, mechi ya NBA
Michezo: 49
Knicks: 24
Grizzlies: 25
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.