Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Arnold Palmer Invitational
US PGA Tour
Bay Hill Club and Lodge
Bayhill, Orlando, Florida, USA
3-6 March 2022
Shindano la 2022
Arnold Palmer Invitational litang’oa nanga Orlando, katika jimbo la Florida nchini Marekani katika ya tarehe 3 na 6 Machi.
Baada ya kuasisiwa mwaka 1966, shindano hili huchezwa kila Machi Bay Hill Club and Lodge ambalo ni eneo la golfu la kibinafsi tangu mwaka 1974 na linamilikiwa na mchezaji mahiri wa zamani wa golfu Arnold Palmer.
Mshindi wa shindano hili la golfu hupokea fulana nyekundo kwa ukumbusho wa Palmer, utamaduni ulioanza mwaka 2017 baada ya kifo chake mwaka 2016.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Bryson DeChambeau ndiye bingwa mtetezi wa Arnold Palmer Invitational baada ya kushinda shindano hilo mwaka jana.
Mwaka huu, shindano hilo litajumuisha wachezaji kama vile, Sergio Garcia, Patrick Reed, Tom Hoge, Rory McIlroy, Viktor Hovland, Seppe Straka na wengineo.
Kutakuwa na wachezajo 120 na shindano litachezwa kwa muda wa siku nne huku shindano hili likiwa ni la 18 katika ratiba ya PGA Tour ya 2021 – 22.
Washindi wa zamani wa Arnold Palmer Invitational Tyrrell Hatton na Marc Leishman watakuwepo huku wakitazamia kushinda shindano kwa mara ya pili.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Ni uamuzi mgumu kuchukua kwa sasa,” DeChambeau alisema huku akitangaza kujiondoa kwenye shindano la 2022 Arnold Palmer Invitational.
“Nina mambo mengi ya kufanyia kazi ili kurudi hali ya kawaida kwa wiki moja. Nahisi muda huu ni mchache sana kukamilisha hilo na kuwa asilimia mia moja sawa kabisa.
"Sitaki kucheza na kuongezea maumivu zaidi na kutolewa katika shindano mapema na kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha.”’
Tiger Woods ndiye mchezaji mwenye mafanikio mengi zaidi katika historia ya Arnold Palmer Invitational baada ya kulishinda mara nane.
Washindi 5 wa mwisho wa Arnold Palmer Invitational
2017 - Marc Leishman - Australia
2018 - Rory McIlroy - Northern Ireland
2019 - Francesco Molinari - Italia
2020 - Tyrrell Hatton - England
2021 - Bryson DeChambeau – Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.