Wakati ligi nyingi zikiwa zimemalizika na nyingine zikielekea ukingoni, Betway imekuja na promosheni mpya kwa wateja wa kasino itakayokupa nafasi ya kushindia zawadi na bonasi hadi TSh 100 miliioni na mchongo huo ni –
Kwangua na Ushinde.
Promosheni ya Betway Kwangua na Ushinde itaanza Juni 19 hadi Julai 30 na itatoa zawadi kwa wateja wote wa Betway kwa kila ubashiri wanaoweka. Wateja watapa kadi za kukwangua kisha watakwangua ambapo wanaweza kujishindia zawadi na ofa kibao.
Ili kupata kadi ya kwanza ya kukwangia, ni rahisi mno weka bashiri 10 kwenye aidha sloti, michezo ya mezani au Aviator. Ni simpo sana. Kupata kadi zaidi, idadi ya bashiri zitaongezeka kidogo – lakini unaweza kuapata hadi 10 kadi kwa siku.
Fahamu idadi ya bashiri zinazohitajika ili kupata kadi inayofuata na Betway:
Kadi za Kukwangua |
Bashiri |
#1 |
10 |
#2 |
15 |
#3 |
20 |
#4 |
25 |
#5 |
30 |
#6 |
35 |
#7 |
40 |
#8 |
45 |
#9 |
50 |
#10 |
55 |
Hakikisha unatumia kadi zako za kukwangua ulizopata ndani ya masaa 24.
Sasa ushajua jinsi ya kupata kadi kwenye promosheni Betway Kwangua na Ushinde, tuongelee zawadi. Kila kadi utakayokwangua utapata nafasi ya kushinda mojawapo ya zawadi zifuatazo:
- Pesa taslimu
- Bonasi za Kasino
- Simu
- TV inchi 43
- Pikipiki
Lakini pia Kadi za Kukwangua zinaweza kukupa ofa za kipekee, kama kupata 50% ya kiasi ulichoweka au 50% ya kiasi ulichopoteza – inamaana wewe fanya bashiri ili kupata kadi nyingi za kukwangua kila siku.
Usisahau kutembelea na ku-follow kurasa za Betway Facebook, Twitter, Instagram na Youtube ambapo utakutana na ofa kibao kipindi chote cha promosheni ya Betway Kwangua na Ushinde.
Kwangua na Ushinde
Weka bashiri 10 kwenye mchezo wowote wa Kasino, iwe ni sloti, michezo ya mezani au michezo ya haraka kupata kadi yako kutoka kwenye promosheni ya
Betway Kwangua na Ushinde.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.