Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Memorial Tournament
US PGA Tour
Muirfield Village Golf Club
Dublin, Ohio, USA
2-5 June 2022
Jon Rahm atakuwa na uhakika wa kushinda kwa mara ya pili shindano la
gofu la Memorial baada ya kushinda shindano hilo miaka ya nyuma.
Nyota huyo wa Uhispania alishinda shindano hilo mwaka 2020, ushindi uliomuweka katika nafasi ya kwanza kwenye jedwali rasmi la gofu duniani alipomshinda Ryan Palmer kwenye mechi ya mchujo.
Rahm alikuwa Mhispania wa pili kushikilia nafasi ya kwanza ya mchezo wa gofu duniani baada ya Seve Ballesteros japokuwa alikaa nafasi hiyo kwa muda wa wiki mbili tu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Maarufu kama Rahmbo, mchezaji huyo alikuwa na msimu wa PGA Tour 2020-2021 wa kufana ambao ulijumuisha kumaliza kumi bora mara kumi na tano na taji kubwa la kwanza kwenye shindano la US Open.
Rahmbo aliendeleza hali yake nzuri kwenye shindano la 2022 Sentry Tournament of Champions kwa kumaliza mapema katika nafasi ya pili.
Hii itakuwa ni mara ya nne kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 kuanza katika mkondo wa gofu wa Muirfield Village Golf Club, baada ya kuungana na Patrick Cantlay na Tiger Woods mwaka 2020 kama washindi wa tuzo la Jack Nicklaus kushinda shindano la Memorial Tournament.
Katika shindano hili la Memorial, Rahm ameshinda kiasi cha dola 1,674,000 na kuwa na wastani wa alama 69.67 kwa mizunguko tisa na kwa sasa anashikilia nafasi ya pili kwenye jedwali rasmi la gofu duniani.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Ni vigumu kusema kuwa nilicheza vizuri. Shindano la US Open lilikuwa la kufana,” Rahm alizungumza kuelekea shindano la mwaka huu la gofu la Memorial.
“Ukweli ni kuwa nilikuwa na mchezo wiki hiyo kwenye mkondo wa gofu wa Muirfield Village. Tundu lilikuwa kama ndoo.
"Nilihisi mpira utaingia kwenye tundu kila nilipocheza. Zitakuwa siku tatu ngumu za gofu.”
Tiger Woods ndiye mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika historia ya shindano la gofu la Memorial ikiwa ameshinda mara tano.
Washindi watano wa mwisho wa shindano la gofu la Memorial
2017 - Jason Dufner - Marekani
2018 - Bryson DeChambeau - Marekani
2019 - Patrick Cantlay - Marekani
2020 - Jon Rahm - Uhispania
2021 - Patrick Cantlay - Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.