Nadal atarajia kufika fainali ya 14 ya French Open


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 French Open

ATP Tour

Stade Roland Garros

Paris
France
3 June 2022
 
Mchezaji namba tano duniani wa tenisi Rafael Nadal anatarajia kufika fainali ya shindano la tenisi la French Open kwa mara ya kumi na nne atakapokutana na Alexander Zverev kwenye nusu fainali Ijumaa Juni 3. 
 
Raia huyo wa Uhispania anashikilia rekodi ya kushinda fainali nyingi za mchezaji mmoja kila upande kwenye shindano hilo la Roland Garros, 13 ambapo amefanikiwa kuinua taji hilo katika miongo mitatu tofauti. 
 
Nadal ameshindwa seti tatu tu kuelekea nusu fainali na alimuondoa bingwa mtetezi Novak Djokovic 6-2, 4-6, 6-2, 7-6 hawamu iliyopita. 
 
Nadal mwenye umri wa miaka 35 amecheza na Zverev mara tisa na kufanikiwa kushinda mara sita. Alimshinda mjerumani Zverev 6-3, 6-4 katika robo fainali ya ATP Masters 1000 mjini Rome mwaka jana na kuvunja msururu wa mechi tatu bila kushinda. 
 
Nadal aliyeshinda shindano la tenisi la Australian Open mapema mwaka huu amekuwa akusumbuliwa na jeraha la mguu na ameashiria huenda hii ikiwa mechi yake ya mwisho kucheza kwenye udongo Paris. 
 
"Sijui kinachoweza tokea. Kama nilivyosema mwanzoni, nitashiriki shindano hili kwa kuwa tunafanya lolote kutuwezesha kushiriki shindano lakini sijui kitakachofuata baada,” alisema.  
 
"Nina jeraha mguuni. Kama hatutapata suluhu au kuimarika japo kidogo tu, itakuwa vigumu sana kwangu.
 
"Nafurahi kila nafasi, kila siku ninayopata kuwa hapa na siwazii sana yatakayotokea siku za usoni.” 
 

Washindi watano wa mwisho wa shindano la tenisi la Australian Open

 
2021 - Novak Djokovic (SERBIA)
2020 - Rafael Nadal (UHISPANIA)
2019 - Rafael Nadal (UHISPANIA)
2018 - Rafael Nadal (UHISPANIA)
2017 - Rafael Nadal (UHISPANIA)
 

Bashiri tenisi mtandaoni

Bashiri manguli kwenye michuano bora ya tenisi kutoka Wimbledon hadi Roland Garros. Jisajili leo na anza kubashiri kwenye machaguo tofauti ambayo tenisi inakupatia; kutoka 1x2 matokeo ya mechi, bashiri kwa mchezaji wako unayempenda hadi kwenye bashiri nyingi kama Mshindi wa Set. Chochote unachochagua kufanya, Betway ina chaguo kwaajili yako.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway
 

Published: 06/03/2022