F1 - 2023 Formula One World Championship 


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2023 Formula One World Championship 

2023 Hungarian Grand Prix

Round 11
Hungaroring
Mogyoród, Hungary 
Sunday, 23 July 2023
 
Max Verstappen ana imani kuwa atashinda mbio za magari za Hungarian Grand Prix kwa mara ya pili na kuimarisha nafasi yake ya kushinda shindano la Formula One msimu huu.
 
Mbio za hivi karibuni
 
Dereva huyo wa Red Bull Racing-Honda RBPT alionyesha umahiri wake kwa kuibuka na ushindi wa mbio za British Grand Prix Julai 9, ambao ulikuwa ni ushindi wake wa sita mfululizo msimu huu.
 
Verstappen alianza mbio hizo akiwa katika nafasi ya kwanza na kushikilia nafasi hiyo hadi mwisho huku wapinzani wake wakimenyana kwa karibu nyuma yake.
 
Malengo yake katika mbio za Formula One
 
Dereva huyo raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Uholanzi anashikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali la dunia la madereva ikiwa amejizolea alama 255 baada ya mbio 10.
 
Verstappen is 99 points clear of second-placed Sergio Perez as the Red Bull Racing-Honda RBPT duo goes head-to-head for the 2023 Formula One World title.
 
Verstappen anapigiwa upatu kuibuka na ushindi wa Hungarian GP 2023
 
Verstappen ambaye ni bingwa mtetezi wa Formula One duniani ana uhakika wa kushinda mbio za Hungarian Grand Prix kwa mara nyingine na kupata ushindi wa saba mfululizo msimu huu.
 
Verstappen amekuwa na matokeo mazuri katika mbio za nyuma na kuibuka na ushindi wa Miami Grand Prix, Monaco Grand Prix, Spanish Grand Prix, Canadian Grand Prix, Austrian Grand Prix na British Grand Prix kwa mpangilio huo.
 
Nukuu
 
“Hatukuanza vizuri. Tunahitaji kujua kwa nini ilitokea hivyo. Hata sababu zikiwepo, nahisi madereva wa McLaren na hasa Lando Norris walikuwa na kasi sana. Ilinichukua muda kuwapita,” alisema Verstappen baada ya mbio za British Grand Prix 2023.
 
“Kwa kipindi fulani kwenye mbio hizo niliweza kupunguza nafasi baina yetu na hali ya kawaida kurejea.
 
“Nafasi baina yetu ilisalia ya takriban sekunde tatu na nusu. Nafurahi kuwa tumeshinda tena. Sio rahisi kushinda mara 11 mfululizo. Ni mafanikio makubwa japo ushindi wa leo ulikuja na changamoto nyingi.”  
 

Matokeo ya Hungarian Grand Prix 2022

 
Mshindi: Max Verstappen - Red Bull Racing-RBPT
Nafasi ya pili: Lewis Hamilton - Mercedes
Nafasi ya tatu: George Russell - Mercedes
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 07/21/2023