Woods kupigania taji la nne la Open Championship


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 Open Championship

US PGA Tour 

Japan Golf Tour 
European Tour 
Old Course at St Andrews
St Andrews, Scotland.
14-17 July 2022 
 
Tiger Woods anatarijia kushinda taji la kwanza baada ya miaka mitatu atakaposhiriki shindano la gofu la Open Championship.
 
Kwa pamoja na Sam Snead, Woods anashikilia rekodi ya kushinda mashindano mengi ya PGA Tour (82) japokuwa alishiriki shindano rasmi mwaka 2019. 
 
Raia huyo wa Marekani ambaye ameshinda shindano la Open Championship mara tatu alishinda shindano la gofu la Zozo Championship na linasalia kuwa shindano la mwisho aliloshinda la PGA Tour.

Ernie Els
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Akiwa na umri wa miaka 24, Woods alishinda taji lake la kwanza la Open Championship na taji lake la nne kubwa mwaka 2000 alipowashinda Thomas Bjorn na Ernie Els.
 
Miaka mitano baadaye, nyota huyo mzawa wa Cypress alifungua kwa matokeo ya alama 66 na 67 kabla ya kufunga kwa matokeo ya alama 71 na 70 na kuibuka na ushindi wa shindano la Open Championship la mwaka 2005 mbele ya Colin Montgomerie.
 
Baadaye, Woods aliwapiku Chris DiMarco, Ernie Els, Jim Furyk na Sergio GarcĂ­a na kushinda shindano hilo la Open Championship mwaka 2006 ambalo lilikuwa taji lake la pili mfululizo na la tatu kwa ujumla. 
 
Mara ya mwisho mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 46 kushiriki shindano rasmi ilikuwa miezi miwili iliyopita kwenye shindano la PGA Championship 2022 kabla ya kujiondoa kutokana na sababu za kiafya.

Sergiio Garcia
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Hili litakuwa shindano la kihistoria tutakalo shiriki,” Woods alisema kuelekea shindano la mwaka huu la Open Championship. 
 
"Ni heshima kubwa kuwa miongoni mwa mabingwa wa zamani waliopata ubingwa wao hapo na wana fursa ya kucheza tena sehemu hiyo hiyo. 
 
"Sina uhakika shindano hilo litaandaliwa tena sehemu hiyo lini ningali na uwezo wa kucheza katika kiwango cha juu. Nahisi kuwa nina nguvu ya kucheza shindano lingine moja kubwa.” 
 
Harry Vardon ni mchezaji mwenye mafaniko mengi zaidi katika historia ya shindano la Open Championship akiwa ameshinda shindano hilo mara sita. 
 

Washindi watano wa mwisho wa Open Championship

 
2016 - Henrik Stenson - Sweden 
2017 - Jordan Spieth - Marekani
2018 - Francesco Molinary - Mexico 
2019 - Shane Lowry - Ireland 
2021 - Collin Morikawa - Marekani
 

Bashiri Gofu na Betway

Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 07/15/2022