Macho yote yaangazia mbio za French Grand Prix 2022


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 FIA Formula One World Championship 

12 Round

2022 French Grand Prix

Circuit Paul Ricard
Le Castellet, France 
Sunday, 24 July 2022
 
Mbio za 2022 za French Grand Prix zinatarajiwa kung’oa nanga Le Castellet ambao ni mji ulioko Kusini mashariki mwa Ufaransa mnamo Julai 24. 
 
Huu utakuwa ni mzunguko wa 12 wa 2022 wa mashindano ya dunia ya Formula One na yataandaliwa kwenye mkondo wa Paul Ricard.
 
Baada ya kuasisiwa mwaka 1906, mbio za French Grand Prix ni moja ya mbio za zamani za magari duniani na pia mkondo wa kwanza.
 
Mbio za hivi karibuni za msimu wa 2022 wa Formula One kuandaliwa zilikuwa Australian Grand Prix Julai 10 ambapo Charles Leclerc wa Ferrari aliibuka na ushindi. 

Max VerstappenHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Max Verstappen wa Red Bull Racing-RBPT na dereva wa Mercedes Lewis Hamilton walimaliza katika nafasi ya tatu na nne mtawalia kwenye mkondo wa at Red Bull Ring, Spielberg.
 
Verstappen anasalia kileleni mwa jedwali la madereva la 2022 akiwa amejizolea jumla ya alama 208. 
 
Leclerc akiwa na alama 170  na dereva wa Red Bull Racing-RBPT Sergio Perez akiwa na alama151 wanachukua nafasi ya pili na tatu mtawalia baada ya mbio 11 za msimu wa 2022.
 
Dereva wa Ferrari Carlos Sainz Jr akiwa na alama 133, dereva wa Mercedes George Russell akiwa na alama 128 na Hamilton akiwa na alama 109 wanachukua nafasi ya nne, tano na sita mtawalia.  

Zhou GuanyuHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Tulijaza magurudumu yetu upepo mwingi kwa sababu nilifanya makosa wakati wa kufuzu na tulijufunza kwa sababu mwanzoni mwa mbio magurudumu hayakuwa imara,” alisema Russell baada ya mbio za Australian Grand prix alipomaliza katika nafasi ya nne.  
 
"Mazingira hayakuwa rafiki. Baridi ilikuwa nyingi. Nilikuwa katikati ya magari mengi. Niligongwa kidogo na Zhou Guanyu. Nilishuka kuangalia kama Zhou alikuwa salama. Sijui sababu lakini nilipoingia kwenye gari alikuweza kuwaka. Nilijulisha timu yangu kuangalia tatizo. Niliwaelekeza wasimamizi kuliacha gari lakini niliporudi gurudumu lilikuwa halina upepo na sukuweza kuliwasha. 
 
"Sikuwa na mbio nzuri kwa sababu gari lilipata pancha lakini tulikuwa na kasi ya kumaliza katika nafasi ya sita. Muhimu zaidi ni kuwa Zhou hakuumia.” 
 
Red Bull Racing-RBPT wanashikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali la kampuni huku wakifuatiwa na Ferrari na kisha nafasi ya tatu kushikiliwa na Mercedes. 
 

Matokeo ya mbio za French Grand Prix 2021

 
Mshindi: Max Verstappen - Red Bull Racing-Honda 
Nafasi ya pili: Lewis Hamilton - Mercedes 
Nafasi ya tatu: Sergio Perez - Red Bull Racing-Honda 
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 
 

Published: 07/20/2022