Hamilton kuwania taji la pili la Austrian Grand Prix


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 FIA Formula One World Championship 

11 Round

2022 Austrian Grand Prix

Red Bull Ring
Spielberg, Austria
Sunday, 10 July 2022
 
Lewis Hamilton ana matumaini ya kushinda mbio za Austrian Grand Prix kwa mara ya pili kama dereva wa langa langa.
 
Dereva huyo wa Mercedes alikosa nafasi ya jukwaani kwenye mbio hizo za Austrian Grand Prix mwaka jana alipomaliza katika nafasi ya nne.
 
Huku akipewa jina la utani ‘Mr Consistency,’ Hamilton ameonyesha mchezo mzuri katika mbio mbili za mwisho za msimu wa 2022 baada ya kumaliza wa tatu kwenye mbio za hivi majuzi za British Grand Prix na Canadian Grand Prix.

George Russell of MercedesHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Mr Consistency ambaye ni Hamilton alikumbwa na ushindani mkali mwishoni mwa mbio za British Grand Prix kutoka kwa Sergio Perez wa Red Bull Racing-RBPT na Charles Leclerc wa Ferrari.  
 
Dereva wa Ferrari Carlos Sainz Jr alishinda mbio hizo huku akifuatiwa na Perez aliyeshika nafasi ya pili na kisha Hamilton akatwaa nafasi ya tatu kwenye mbio hizo zilisisimua sana.
 
Hata hivyo, Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen bado anaongoza jedwali la madereva la msimu 2022 akifuatiwa na Perez na Leclerc katika nafasi ya pili na tatu mtawalia.
 
Hamilton ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya sita kwenye jedwali la madereva anatarajia kuimarisha nafasi yake hadi nafasi ya tano kwa kushinda mbio za Australian Grand Prix baada ya kushinda mbio hizo mwaka 2016.  

Charles Leclerc of FerrariHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Ndio kwa kweli,” alisema Hamilton alipoulizwa kama alifurahia ushindano dhidi ya Leclerc na Perez kwenye mbio za British Grand Prix.
 
"Mbio hizi zimenikumbusha zamani kwenye mchezo wa Karting na hisia zangu ni kuwa Formula 1 ipo katika hali nzuri. Ni ishara tosha kwamba mchezo huu unazidi kuimarika ukiangalia tulivyoshindana mzunguko hadi mzunguko katika mbio hizi.
 
"Nashukuru nimeweza kuwa katika ushindani huo kwa sababu sijakuwepo katika nafasi hiyo kwa muda japo sio jambo geni kwangu. Kuna muda katika maisha yangu kwenye mchezo huu ambapo sijapata ushindi kwa muda,” aliendelea.
 
"Mabadiliko ya kuimarisha gari tuliyoyafanya kwenye mbio kadhaa zilizopita yametupa matumaini kwamba tunaweza kuimarika katika mbio zijazo. Kuna matumaini na gari hili na sharti tuendelee kulichunguza bila kukata tamaa.”
 
Red Bull Racing-RBPT wanaongoza katika jedwali la kampuni na wanafuatiwa na Ferrari katika nafasi ya pili kisha Mercedes wanachukua nafasi ya tatu.
 

Matokeo ya mbio za Austrian Grand Prix 2021

 
Mshindi: Sergio Perez - Red Bull Racing-Honda 
Nafasi ya pili: Valtteri Bottas - Mercedes 
Nafasi ya tatu: Lando Norris - McLaren-Mercedes 
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 07/06/2022