Raptors kuwakaribisha Celtics


Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

2022/23 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Toronto Raptors v Boston Celtics

Scotiabank Arena

Toronto, Ontario, Canada

Sunday, 22 January 2023

01h00  

 

Toronto Raptors na Boston Celtics watakutana katika mechi ya ligi ya mpira wa kikakpu, the National Basketball Association (NBA) Januari 22. 

 

Hii itakuwa mechi ya 106 ya ligi baina ya timu hizi tangu msimu wa 1995-96 ambao ulikuwa msimu wa kwanza wa Raptors kwenye ligi ya NBA. 

 

The Celtics wameshinda mechi 63 kati ya mechi walizoshiriki ukilinganisha na 42 kwa faida ya Raptors.


Jayson Tatum
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Mechi ya mwisho baina ya timu hizi ilikuwa tarehe 6 Desemba 2022 kwenye ukumbi wa Scotiabank Arena ambao ni uwanja wa nyumbani wa Raptors.

 

The Celtics walipata ushindi wa 116-110 dhidi ya Raptors huku Jayson Tatum akionyesha mchezo mzuri kabisa kwa kuchangia jumla ya alama 31 kwa faida ya washindi.

 

The Raptors wapo katika nafasi ya 11 kwenye michezo ya Eastern Conference baada ya kushinda mechi 20 na kupoteza mechi 24 katika michezo 44.

 

The Celtics wanashikilia nafasi ya kwanza katika michezo ya Eastern Conference baada ya kushinda mechi 33 na kupoteza mechi 12 kutokana na michezo 45.
 

Fred VanVleet alichangia alama 33 na Scottie Barnes kuchangia 26 Raptors walipotoka nyuma na kuwashinda New York Knicks 123-121 Jumatatu Januari 16.

 

“Safu yetu ya ushambuliaji haikuwa nzuri. Hatukucheza kwa kasi na juhudi,” alisema kocha mkuu wa Raptors Steve Nurse baada ya ushindi wao dhidi ya Knicks. 

 

"Kudhoofika kwa safu yetu ya ushambuliaji kulichangia pia kudhoofika kwa safu yetu ya ulinzi. Tunahitaji kufanyia kazi mapungufu haya na tutafanya hivyo.

 

“Unaweza kupata ushindi mkubwa lakini mchezo ukakosa juhudi. Kwa maoni yangu hatuonyeshi juhudi za kutosha. Hilo halina shaka.”

 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA.

Mechi - 5

Raptors - 3

Celtics - 2

 

Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 21-22 Januari

Januari 21 Jumamosi

03:00am - Orlando Magic v New Orleans Pelicans
03:30am - Atlanta Hawks v New York Knicks
03:30am - Cleveland Cavaliers v Golden State Warriors
03:30am - Dallas Mavericks v Miami Heat
04:00am - San Antonio Spurs v Los Angeles Clippers
05:00am - Denver Nuggets v Indiana Pacers
05:00am - Utah Jazz v Brooklyn Nets
06:00am - Los Angeles Lakers v Memphis Grizzlies
06:00am - Sacramento Kings v Oklahoma City Thunder

Januari 22 Jumapili

01:00 - Toronto Raptors v Boston Celtics
03:00am - Washington Wizards v Orlando Magic
03:30am - Atlanta Hawks v Charlotte Hornets
03:30am - Cleveland Cavaliers v Milwaukee Bucks
04:00am - Minnesota Timberwolves v Houston Rockets
05:00am - Phoenix Suns v Indiana Pacers
06:00am - Sacramento Kings v Philadelphia 76ers
23:30pm - Miami Heat v New Orleans Pelicans
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 01/20/2023