Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 Spanish La Liga
Matchday 16
Atletico Madrid v FC Barcelona
Estádio Cívitas Metropolitano
Madrid, Spain
Sunday, 8 January 2022
Kick-off is at 23h00
Atletico Madrid na FC Barcelona watakabiliana katika mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Januari 8 ugani Estádio Cívitas Metropolitano.
Huu utakuwa mchezo wa 55 baina ya miamba hawa wa soka katika ligi tangu msimu 1995/96, kipindi kinachokumbukwa kuwa mwisho wa muda wa Johan Cruyff kama mkufunzi.
Barcelona wameshinda kinyang’anyiro hiki mara 26 dhidi ya mara 15 kwa faida ya Atletico huku mechi 13 zikiishia sare.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Barcelona waliibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Atletico Madrid walipokutana mara ya mwisho katika mechi ya ligi ugani Spotify Camp Nou Februari 6 2022.
Kwengineko, Atletico walipata ushindi wa 2-0 katika mechi yao ya mwisho ya ligi nyumbani dhidi ya Elche CF Desemba 29.
Ushindi huo ulipelekea Atletico kuwa na msururu wa mechi nne za ligi za nyumbani bila kushindwa ikiwa wameandikisha ushindi mara mbili na kupata sare mbili.
Barcelona walihitaji juhudi za ziada kupata ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya CA Osasuna katika mechi iliyochezwa Novemba 8.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Barca hawajapoteza mechi ya ligi katika mechi mbili za ugenini zilizopita huku wakiandikisha ushindi mara mbili mfululizo.
"Lengo letu kubwa ni kushinda taji la ligi,” alisema kocha wa Barcelona Xavi Hernadez akiashiria kuwa ushindi wa kombe hilo utaleta udhabiti kwenye klabu.
"Kuna shindano la Supercopa Januari pamoja na shindano la Copa del Rey na ligi ya ulaya ya Europa ila kipaumbele chetu msimu huu ni ligi kuu.
"Utakuwa msimu wa kufana iwapo tutafanikiwa kushinda kombe la ligi. Hautakuwa msimu mzuri iwapo tutashinda ligi ya shirikisho Supercopa peke yake. Tuna hamu ya kushinda mashindano yote lakini ushindi wa La liga utalete udhabiti kwenye klabu.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za ligi.
Mechi – 5
Atletico – 2
Barcelona – 1
Sare – 2
Ratiba ya mechi za La Liga mchezo wa 16 – Januari 6 hadi 9.
Januari 6 Ijumaa
8:30pm - Elche v Celta Vigo
11:00pm - Valencia CF vs Cadiz CF
Januari 7 Jumamosi
6:15pm - Villarreal CF v Real Madrid
8:30pm - Real Mallorca v Real Valladolid
11:00pm - RCD Espanyol v Girona FC
Januari 8 Jumapili
4:00pm - UD Almería v Real Sociedad
6:15pm - Rayo Vallecano v Real Betis
8:30pm - Sevilla FC v Getafe CF
11:00pm - Atletico Madrid v FC Barcelona
Januari 9 Jumatatu
11:00pm - Athletic Bilbao v Osasuna
Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa
Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.