Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 22
Atletico Madrid v Valencia
Wanda Metropolitano
Madrid, Spain
Saturday, 22 January 2022
Kick-off is at 22h00
Valencia wanapania kufikisha kikomo ubabe wa Atletico Madrid timu hizo zitakapokutana katika
mechi ya ligi mnamo januari 22 ugani Wanda Metropolitano.
Mechi ya mkondo wa kwanza iliishia sare ya 2-2 timu hizo zilipokutana Novemba 7 ugani Mastella ambayo ilikuwa ni mechi ya 14 ya ligi kwa Atletico Madrid bila kushindwa.
Mara ya mwisho Valencia kushinda mechi baina ya timu hizi ilikuwa Oktoba 2014 walipopata ushindi wa 3-1 wakiwa nyumbani.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kocha wa Atleti Diego Simeone anakiri kuwa bado timu yake ina nafasi ya kuimarika zaidi baada ya kupata sare ya 2-2 dhidi ya Villarreal januari 9.
"Tumekuwa na wakati mgumu katika mechi kadhaa zilizopita na tumecheza vizuri katika mechi tatu za mwisho; mechi mbili za ligi na moja ya kikombe,” alisema Simeone.
"Tumecheza vizuri na tumefanya mambo mengi vizuri. Ni tumaini langu timu hii itaendelea kuimarika kila uchao na hivyo tunaweza.
"Kubwa kuliko yote ni kufuata mbinu, kuamini maoni ya wachezaji wangu na kuelewa mahitaji ya timu.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Baada ya kupoteza 4-1 dhidi ya Real Madrid januari 8, Valencia waliichapa Atletico Baleares 1-0 kwenye kombe la Copa del Rey mkondo wa 16.
Timu hiyo ya daraja la tatu iliwaondoa Getafe na Celta Vigo katika mikondo miwili iliyopita na ilikuwa nafuu kwa Valencia kuishinda.
"Kwa kawaida hizi huwa ni mechi ngumu na ilikuwa dhidi ya timu iliyowaondoa washiriki wa ligi kuu ya Uhispania na ambao walikuwa na mashabiki wa nyumbani,” alisema baada ya mechi hiyo.
"Tulifunga mapema. Ni raha kubwa kwangu kupata ushindi na kufuzu kuingia robo fainali.”
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi 5 za mwisho za ligi
Mechi - 5
Atletico - 2
Valencia - 0
Sare - 3
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.