Na kutetea taji lake Waialae Country Club, Hawaii


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 Sony Open in Hawaii

US PGA Tour

Waialae Country Club
Honolulu
Hawaii
13–16 January 2022
 
Kevin Na atatetea taji lake la Sony Open, Hawaii katika shindano litakalojumuisha washindi 10 wa zamani. 
 
Kevin Na alizaliwa nchini Korea kusini lakini akapata uraia wa Marekani na ana makao yake Las Vegas. Alinyanyua taji hilo mwaka 2021 baada ya kuwapiku Chris Kirk na joaquin Niemann kwa ushindi mwembamba.

Jimmy Walker
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Kevin yupo katika nafasi ya 27 kwenye jedwali la dunia baada ya kumaliza katika nafasi ya 13 kwenye shindano la Tournament of Champions juma lililopita. 
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 ana ushindi mara tano kwenye PGA Tour na hili litakuwa ni shindano lake la tano la msimu wa 2022
 
Kevin alimaliza katika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya 2021 ya FedExCup baada ya kuchukua nafasi ya tatu katika shindano la Tour championship mwezi septemba. Mchezaji huyo alipata jumla ya alama 266 ambazo ni alama chache kabisa kwenye historia ya mashindano hayo ya matundu 72. 
 
 “Ulikuwa mwaka wa kufana sana,” alisema kuhusu mwaka 2021. Binafsi, ilikuwa ni nafasi katika FedExCup. Nilishiriki shindano la Tour Championship awali lakini sikuwa na mafanikio makubwa. Mwaka huu nimeridhishwa na uchezaji wangu. Nilihisi vizuri.  
 

Washindi 5 wa mwisho wa Sony Open, Hawaii 

 
2021 - Kevin Na (Marekani)
2020 - Cameron Smith (Australia)
2019 - Matt Kuchar (Marekani)
2018 - Patton Kizzire (Marekani)
2017 - Justin Thomas (Marekani)

 

Bashiri Gofu na Betway

Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 01/13/2022