Juventus wanuia ushindi wa tatu dhidi ya Roma


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 Italian Serie A

Matchday 21

Roma v Juventus

Stadio Olimpico
Rome, Italy
Sunday, 9 January 2022
Kick-off is at 20h30 
 
Juventus watatarajia kupata ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Roma watakapokutana uwanjani Stadio Olimpico januari 9 katika mechi ya ligi
 
Juventus walishinda mechi ya mkondo wa kwanza iliyochezewa ugani Juventus stadium mnamo Oktoba 17 ambapo goli la pekee lilifungwa na Moise Kean kunako dakika ya 16.
 
Ushindi wa mwisho wa Roma dhidi ya Juventus ulikuja mwanzoni mwa msimu 2020/21 ambapo Roma ilishinda 3-1 Turin Agosti 1. 

Jose Mourinho
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Katika mechi ya mwisho ya mwaka 2021, Roma walilazimishwa sare ya 1-1 na Sampdoria jambo lililomtamausha mkufunzi Jose Mourinho.
 
"Kabla ya mchezo niliwaambia kuwa tunaweza kucheza vizuri au vibaya, tunaweza kushinda au kushindwa lakini huwezi kupoteza mechi baada ya kutangulia kufunga,” alisema Mourinho. 
 
"Mechi dhidi ya Atalanta tulionyesha ukakamavu na uchu katika mchezo lakini leo haikuwa hivyo.” 

Massimiliano Allegri
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Dirisha la uhamisho limefunguliwa januari na kuna uwezekano wa baadhi ya wachezaji kusajiliwa na wengine kuondoka.
 
Mshambuliaji Alvaro Morata amehusishwa sana na kuhamia Barcelona lakini meneja wa Juve, Allegri amepinga taarifa hizo. 
 
"Morata haendo kokote, atasalia nasi,” alisema. Mwaka jana alifunga magoli 21 msimu wote, mwaka huu tayari amefunga bila penalti na mipira mifu. 
 
"Ni mchezaji mzuri. Nilizungumza naye na kumwambia kuwa hana sababu ya kuondoka.” 
 

Takwimu baina ya timu hizi katika mechi za Serie A

Mechi - 62
Roma - 15
Juventus - 30
Sare - 17


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 
 
 

Published: 01/07/2022