Hakimiliki ya picha: Getty Images
Charlotte Hornets v Orlando Magic
2021-22 NBA Regular Season
Saturday 15 January 2022
Spectrum Center, Charlotte, North Carolina
Tip-off at 03:00
Charlotte Hornets watakabiliana na Orlando Magic katika mechi ya
NBA ugani Spectrum Center, Charlotte katika jimbo la North Carolina. Mechi hiyo itang’oa nanga jumamosi asubui januari 15 2022 saa nane kamili majira ya afrika ya kati.
The Hornets wapo katika nafasi za katikati ya jedwali la Eastern Conference huku nafasi yao kufika mechi za mchujo ikiwa finyu kwa sasa. Kwa upande mwingine, Charlotte waliishinda Detroit Pistons 140-111 wiki iliyopita huku Kelly Oubre akionyesha mchezo mzuri sana.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Nawapongeza sana wachezaji wenzangu,” alisema Oubre. “Tulichangia alama 39 katika mchezo wa leo. Ni furaha kubwa kucheza na kikundi hiki cha wachezaji wanaochangia muendelezo wa mchezo wangu mzuri.”
"Kelly ni mchezaji mahiri mwenye uwezo mkubwa,” kocha wa Hornets James Borrego alisema. "Inaleta raha kuona akicheza kwa furaha. Alicheza vizuri sana katika robo ya nne ya mechi na wachezaji wetu walimsaidia sana.”
The Magic wamekuwa na msimu wa kusahau kwani matokeo yao yamekuwa ya kutamausha. Wiki iliyopita walipoteza 116-106 wakiwa nyumbani dhidi ya Philadelphia 76ers.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Umekuwa msimu wenye changamoto kubwa kwetu. Sio rahisi,” alisema Cole Anthony kuhusu hali ya Magic. “Napenda huu mchezo na naupenda mji huu. Nafurahi kuwa hapa na tuna nafasi ya kuimarika.”
Hornets na Magic wamekutana mara 112 katika mechi za NBA tangu mwaka 1989-90. Charlotte wameshinda mara 57 huku Orlando wakishinda mara 55. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana novemba 2021 katika mechi ya NBA ambapo Hornets wakiwa ugenini walishinda 106-99 huku Terry Rozier akichangia alama 27.
Takwimu baina ya Charlotte Hornets na Orlando Magic katika mechi za NBA.
Mechi: 112
Hornets: 57
Magic: 55
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.