Hakimiliki ya picha: Getty Images
Philadelphia 76ers v San Antonio Spurs
2021-22 NBA Regular Season
Saturday 8 January 2022
Wells Fargo Center, Philadelphia, Pennsylvania
Tip-off at 03:00
Philadelphia 76ers na San Antonio Spurs watamenyana vikali katika mechi ya
NBA kwenye uwanja wa Wells Fargo Philadelphia, Pennsylvania jumamosi januari 8 2022. Mechi hiyo itaanza saa nane kamili alfajiri majira ya afrika ya kati.
The 76ers wako katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa Eastern Conference na wana nafasi ya kushiriki mchujo. Wikendi iliyopita, Philadelphia waliwashinda Brooklyn Nets 110-102 ugenini. Joel Embiid alionyesha mchezo mzuri dhidi ya mpinzani Kevin Durant na kwa kuchangia alama 34.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Kwa hakika ni mchezaji mwenye talanta kubwa zaidi yangu,” alisema Embiid. “Namuheshimu sana. Napenda anavyocheza na ushindani wetu. Ushindi wowote una maana kubwa lakini ushindi dhidi ya mpinzani Madhubuti unafurahisha zaidi.”
Kwa upande mwingine, The Spurs wapigania kujiweka katika nafasi ya kushiriki mchujo kwani sasa hivi wapo sehemu ya chini ya jedwali la Western Conference. Wikendi iliyopita walipoteza 118-105 ugenini dhidi ya Memphis Grizzlies.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kocha wa Spurs Gregg Popovich alikiri kuwa timu yake ilidhoofika katika robo ya tatu na kuadhibiwa. "Hiyo iliweka wazi mwenendo wa kipindi cha pili,” alisema Gregg Popovich. “Walikuwa tayari kwa mapambano,” kocha wa San Antonio alisema akiwazungumzia Grizzlies. “Wanaamini katika wanachokifanya na kwamba wanaweza kuishinda timu yoyote katika ligi na hilo ni dhahiri.”
Katika takwimu baina ya timu hizi mbili, 76ers na Spurs wamekutana mara 99 katika mechi za NBA tangu msimu 1979-77. San Antonio wameshinda mara 58 huku Philadelphia ikishinda mara 41. Msimu uliopita timu hizo zilikutana Mei 2021 na 76ers wakashinda mechi hiyo 113-111 muda wa ziada, ikiwa ni ya tano mfululizo dhidi ya Spurs. Jeol Embiid alichangia alama 34.
Takwimu baina ya Philadelphia 76ers na San Antonio Spurs
Games: 99
76ers: 41
Spurs: 58
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.