Hakimiliki ya picha: Getty Images
Philadelphia 76ers v Los Angeles Lakers
2021-22 NBA Regular Season
Friday 28 January 2022
Wells Fargo Center, Philadelphia, Pennsylvania
Tip-off at 03:30
The Philadelphia 76ers watakabana koo na Los Angeles Lakers kwenye mechi ya NBA Wells Fargo Center in Philadelphia, Pennsylvania Ijumaa Januari 28. Mechi itang’oa nanga saa nane na nusu asubui majira ya afrika ya kati.
The 76ers wamekuwa na matokeo mazuri na wapo mbioni kumaliza katika nafasi za juu za Eastern conference japo kuna tishio kutoka kwa timu kama the Charlotte Hornets, Toronto Raptors, Washington Wizards na Boston Celtics.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wiki iliyopita, Philadelphia walizembea baada ya kuongoza kwa alama 24 na kupoteza 102-101 wakiwa nyumbani dhidi ya Los Angeles Clippers. gave up a 24-point lead to lose 102-101 at home to the Los Angeles Clippers. Kocha Doc Rivers aliulizwa matokeo hayo yanachangangiwaje na mbinu zake za ukufunzi jambo ambalo halikumfurahisha akisema kwamba kocha wa San Antonio Gregg Popovich hawezi kuelekezewa lawama kama hizo. “Je unawaweza kumuuliza Pop swali hilo? Hapana huwezi,” alisema Rivers. “Husiniulize hilo swali.”
Kwa upande mwingine, The Lakers vile vile wapo mbioni kufuzu mechi za mchujo Western conference lakini kuna upinzani mkali kutoka kwa Denver Nuggets, Clippers na Minnesota Timberwolves.

Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wikendi iliyopita walipambana kutoka nyuma kipindi cha kwanza na kushinda 116-105 wakiwa ugenini dhidi ya Orlando Magic mechi ambayo LeBron James alishiriki. “Ni mchezaji wa kipekee sana katika historia ya mchezo huu,” Vogel alimzungumzia James. “Miaka miwili iliyopita tulishinda taji akicheza nafasi tofauti na aliyoizoea na sasa anacheza nafasi tofauti tena. Ni jambo la kupongezwa sana hasa ukizangatia umri wake na muda aliocheza mchezo huu.”
Historia baina ya timu hizi mbili katika NBA inaonyesha zimekutana mara 285 tangu mwaka 1949-50. Los Angeles wameshinda 146 huku Philadelphia wakishinda 139 ya mechi hizo. Mara ya mwisho timu hizo zilikutana Machi 2021 ambapo 76ers walishinda ugenini 109-101. Danny Green alichangia alama 28 katika ushindi huo.
Takwimu baina ya Philadelphia 76ers na Los Angeles Lakers, NBA
Mechi: 285
76ers: 139
Lakers: 146
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.