Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
New Orleans Pelicans v Los Angeles Lakers
Smoothie King Center
New Orleans, USA
Sunday, 5 February 2023
03h00
New Orleans Pelicans watakabana koo na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya mpira wa
kikapu NBA Februari 5.
Hii itakuwa mechi ya 69 baina ya Pelicans na Lakers katika michezo ya NBA tangu msimu 2002/03 Pelicans ilipoasisiwa.
The Lakers wameshinda mechi 42 dhidi ya Pelicans huku Pelicans wakifanikiwa kushinda mechi 26 kati ya mechi 68 walizokutana.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mechi ya mwisho baina ya Pelicans na Lakers ilikuwa mnamo Novemba 3 2022 katika ukumbi wa Crypto.com uliopo Los Angeles Marekani.
The Lakers walipata ushindi wa 120-117 dhidi Pelicans, ambapo AS Anthony Davis na LeBron James walishirikiana na kuchangia jumla ya pointi 40 kwenye ushindi wa timu hiyo.
Kwa sasa The Pelicans wanashikilia nafasi ya nane katika michezo ya Western Conference baada ya kucheza mechi 51 wakishinda 26 na kupoteza mechi 25.
The Lakers wapo katika nafasi ya 13 kwenye michezo hiyo ya Western Conference baada ya kushiriki mechi 51 na kushinda mechi 23 huku wakipoteza mechi 28.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Januari 30 Jumatatu, Milwaukee Bucks walipata ushindi wa 135-110 dhidi ya Pelicans ambao wanazidi kudidimia kwani wamepoteza mechi nane mfululizo.
Willie Green ambaye ni kocha wa Pelicans amesema kuwa timu yake inastahili kuamsha ari, kasi na furaha ya kucheza mchezo huu kama walivyokuwa chini ya mwezi mmoja uliopita.
“Tunastahili kucheza kwa furaha na kujiamini,” alisema Green baada ya mechi dhidi ya Bucks kwenye ukumbi wa Fiserv Forum.
"Tunaonekana kuathirika kwa sasa kutokana na msururu wa matokeo mabaya lakini tunapambana kurudia hali yetu ya zamani. Karibuni hali yetu itarudi na tutacheza kwa furaha kama tulivyozoea.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA.
Mechi - 5
Pelicans - 3
Lakers - 2
Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 4 na 5 Februari
Februari 4 Jumamosi
03:00am - Detroit Pistons v Charlotte Hornets
03:00am - Indiana Pacers v Sacramento Kings
03:00am - Washington Wizards v Portland Trail Blazers
03:30am - Boston Celtics v Phoenix Suns
04:00am - Houston Rockets v Toronto Raptors
04:00am - Minnesota Timberwolves v Orlando Magic
04:00am - San Antonio Spurs v Philadelphia 76ers
05:00am - Utah Jazz v Atlanta Hawks
Februari 5 Jumapili
02:00am - Brooklyn Nets v Washington Wizards
03:00am - Detroit Pistons v Phoenix Suns
03:00am - New York Knicks v Los Angeles Clippers
04:00am - Chicago Bulls v Portland Trail Blazers
04:00am - Milwaukee Bucks v Miami Heat
04:00am - New Orleans Pelicans v Los Angeles Lakers
04:00am - Oklahoma City Thunder v Houston Rockets
04:30am - Golden State Warriors v Dallas Mavericks
Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa​
Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.