Jackpots kubwa zaidi Tanzania hizi hapa


Weka ufundi wako wa kubashiri kwenye majaribio na Betway Jackpots, na unaweza kuondoka na mkwanja mrefu.
 
Chagua kutoka Jackpots kadhaa na bashiri katika ligi uzipendazo za kandanda kutoka ulimwenguni. Hata kama mkeka utachanika, bado kuna bonasi ukikosa kwa chaguo moja au mbili.
 
Billionea Jackpot
 
Unaweza kujishindia mkwanja mrefu zaidi hadi TSh 5,000,000,000 kwa kutabiri kwa usahihi matokeo ya mechi kwenye mechi zinazochaguliwa katika Jackpots zetu za kila wiki. Kila wiki, mechi zitachaguliwa kutoka ligi zote kandanda za kimataifa.
 
Mserereko Jackpot
 
Sasa unaweza kushinda TSh 250,000 kila siku, kwa kutabiri matokeo ya mechi na machaguo mengine. Unachotakiwa kufanya ni kubashiri mechi yoyote ili kupata tiketi ya kushiriki Mserereko Jackpot kila siku.
 
Chagua Jackpot yako pendwa hapa
 
Tuna aina tatu za Jackpots, ambapo kadiri unavyotabiri ndivyo unavyoshinda:
  • Billionea Jackpot: Hii ndio baba lao. Weka 500 Shinda TSh 5,000,000,000 kwa mechi 17
  • Mchongo Jackpot: Weka 250 Shinda TSh 80 milioni kwa mechi 13
  • Mia Jackpot: Weka 100 Shinda TSh 1 milioni kwa mechi 8
  • Msererko Jackpot: Shinda 200,000 kila siku
 
Free Play Jackpot
 
Ukiwa na Free Play Jackpot unaweza kuweka ubashiri wako bure, na bado ukaondoka na mkwanja mrefu ikiwa utatabiri matokeo yote kwa usahihi. Ingia sasa, na uangalie ikiwa una tokeni zozote za Jackpot. Unaweza kupata tokeni za Jackpot kwa kubashiri na Betway.

 

Bashiri kwenye Jackpot

Betway inakualika kutumia maarifa yako ya michezo na unaweza kushinda donge nono kupitia Jackpot zetu za kila wiki.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

Published: 02/06/2023