Cup in Qatar - Burudani Kila Wiki


Timu bora zikionyeshana ubabe Qatar

Macho na masikio yote ya mashabiki wa soka yapo kwenye Kombe la Dunia, wakati wababe wa soka la kimataifa wakichuana kunyakua kombe hilo. Hii ni michuano mifupi zaidi ukiachana na ile ya 1978, bila shaka zitakuwa siku 28 za kusisimua na zenye ushindani.

Je bingwa mtetezi ataweza kutetea kombe lake au bingwa mara 5 Brazili? Fuatilia blogu yetu ili usipitwe na michuano hii.

Hii hapa ni michezo ambayo hutakiwi kukosa wiki hii:
 

 

matokeo ya kombe la dunia:



Kombe hili la Dunia limekuwa na aina yake, hizi hapa ni takwimu za kuvutia kwenye wiki mbili za kwanza.
 

  • Baada ya kushiriki Kombe la Dunia mara 6, hatimaye Tunisia imefanikiwa kuifunga timu kutoka Ulaya kwa mara ya kwanza. Sio kwamba wameifunga timu ya hovyo, La hasha, ni Ufaransa bingwa mtetezi alipoteza 1-0.
 
  • Bila kujumuisha changamoto ya mikwaju ya penati. Ghana imekuwa timu ya kwanza kukosa penati mbili dhidi ya timu moja. Penati ya kwanza kukosa ilipigwa na Asamoah Gyan 2010 iliyofuata ilipigwa na Andre Ayew mwaka huu.
 
  • Gavi amekuwa mchezaji mdogo zaidi wa Hispania kushiriki Kombe la Dunia. Alifanya tukio hilo kuwa zuri zaidi kwa kuwa mfungaji mwenye umri mdogo zaidi katika Kombe la Dunia tangu Pele alivyoifungia Brazil mnamo 1958.
 
  • Bukayo Saka amekuwa mchezaji mdogo zaidi kufunga magoli mawili au zaidi kwenye mechi yake ya kwanza kwenye Kombe la Dunia.
 

Shinda na Kombe la Dunia

Dunia imekusanyika kushuhudia michuano bora zaidi ya soka. Ingia kwenye Droo yetu ya Kila Siku ya Mechi ujishindie TSh 500,000 na ufurahie Free Predictor.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway. 

 

Published: 12/13/2022