Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Italian Serie A
Matchday 17
Venezia FC v Juventus FC
Stadio Pierluigi Penzo
Venezia, Italy
Saturday, 11 December 2021
Kick-off is at 20h00
Venezia FC na Juventus watakutana katika
mechi ya ligi Disemba 11 kwenye uwanja wa Stadio Pierluigi Penzo.
Katika mchezo wa ligi uliochzwa Disemba 5, Venezia walishindwa na Hellas Verona kwa mabao 4-3.
Ukijumlisha mechi hiyo dhidi ya Hellas Verona, Venezia wameshindwa mechi tatu za mwisho za ligi mfululizo
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Venezia waliishinda AS Roma katika mechi yao ya mwisho nyumbani baada ya Salernitana kuvunja msururu wao wa mechi mbili bila kushindwa wakiwa nyumbani.
Kwengineko, Juventus wakiwa nyumbani walipata ushindi wa mechi dhidi ya Genoa kwa mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa Disemba 5.
Juventus wameandikisha ushindi mara mbili katika mechi mbili za ligi zilizopita.
Vile vile, Juventus wameandikisha ushindi katika mechi mbili za ligi za ugenini walizocheza mwisho.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Tunashikilia nafasi ya tano pamoja na Fiorentina,” alisema meneja wa Juventus Massimiliano Allegri baada ya ushindi huo dhidi ya Geneo.
"Walio katika nafasi za kwanza nne wanafanya vizuri kwa hivyo ilikuwa muhimu sisi kushinda mechi ya leo. Tutasubiri kuona kitakachotokea mwisho wa msimu na kama mambo yatabadilika.
“Tunayo malengo yetu katika ligi ya Serie A, ligi ya mabingwa na kombe la Coppa Italia na hatua kwa hatua tutafika.”
Mechi ya ligi ya mwisho baina ya timu hizi ilikuwa Januari 12 2002.
Juventus walishinda mchezo huo 2-1 dhidi katika uwanja wa Stadio Pierluigi Penzo ambao ndio wa pili kwa uzee kati ya Nyanja zinazotumika mara kwa mara nchini Italy.
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za mwisho za ligi.
Mechi - 5
Venezia - 0
Juventus - 5
Sare - 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.