Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 English Premier League
Matchday 18 of 38
Tottenham Hotspur vs Liverpool
Tottenham Hotspur Stadium
London, England
Sunday, 19 December 2021
Kick-off is at 19:30
Tottenham Hotspurs na Liverpool watamenyana katika
mechi kali ya ligi Jumapili jioni mjini London huku timu zote zikinuia kuendeleza msururru wa matokeo mazuri.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Spurs watacheza na Leicester city na Liverpool wiki hii ikiwa ni siku chache waliporejea mazoezini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona katika klabu hiyo.
Kabla ya kuahirishwa kwa mechi dhidi ya Burnley na Brighton & Hove Albion, Spurs walikuwa wameshinda mechi tatu mfululizo, ikiwapiga Leeds United, Brentford na Norwich city.
Liverpool kwa upande wake watacheza dhidi ya Newcastle united na Tottenham wiki hii baada ya kushindi mechi tano kwa mpigo, ya mwisho ikiwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa.
"Dakika za kwanza 75 tulicheza mchezo mzuri na tulishambulia katika nafasi tulizokuwa tunataka lakini hatukufunga magoli zaidi,” alisema meneja wa Liverpool Jurgen Klopp baada ya ushindi huo mwembamba dhidi ya Villa.
"Tulifunga kupitia penati na ilikuwa afueni kubwa. Dakika kumi na tano za mwisho tulipata shinikizo kubwa lakini tukastahimili.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Msimu uliopita, Liverpool walishinda michezo yote miwili dhidi ya Spurs na kuchukua alama sita. Mchezo wa kwanza Liverpool walishinda 2-1 wakiwa nyumbani kabla ya kushinda 3-1 katika mechi ya marudiano ambapo Roberto Firmino alifunga katika mechi zote.
Takwimu baina ya Tottenham Hotspur na Liverpool katika ligi.
Mechi: 161
Tottenham Hotspur: 43
Liverpool: 78
Sare: 40
Ratiba ya mechi za EPL, mchezo wa 18.
Disembe, 18 Jumamosi
15:30 - Manchester United vs Brighton & Hove Albion
18:00 - Southampton vs Brentford
18:00 - Watford vs Crystal Palace
18:00 - West Ham United vs Norwich City
18:00 - Aston Villa vs Burnley
20:30 - Leeds United vs Arsenal
Disemba,19 Jumapili
15:00 - Everton vs Leicester City
17:00 - Wolverhampton Wanderers vs Chelsea
17:15 - Newcastle United vs Manchester City
19:30 - Tottenham Hotspur vs Liverpool
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.