Hakimiliki ya picha: Getty Images
San Antonio Spurs v Denver Nuggets
2021-22 NBA Regular Season
Friday 10 December 2021
AT&T Center, San Antonio, Texas
Tip-off at 04:30
The San Antonio Spurs na the Denver Nuggets watamenyana vikali katika mechi ya
NBA ugani AT&T Center in San Antonio jimbo la Texas asubui ya Ijumaa tarehe 10 Disemba 2021 kuanzia saa tisa na nusu majira ya afrika ya kati.
The Spurs wanapania kuingia katika nafasi za kwanza kumi baada ya kuwa na msimu mbaya hadi kufikia sasa ikiwa ni pamoja na ushindi wa 114-83 dhidi ya Portland Trail Blazers. Bryn Forbes akitokea benji alichangia alama 18, Doug McDermott alichangia alama 16 huku Dejounte Murray akifunga alama 15 na kuchangia kupatika kwa alama 13.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Tulimpumzisha mchezaji Damian Lillard usiku wa leo lakini ni jambo la kawaida na hutokea kila mara. Angechangia pakubwa hilo ni Dhahiri,” alisema kocha wa Spurs Gregg Popovich.
The Nuggets wamekuwa na msimu mzuri ukilinganisha na Spurs lakini walishindwa 108-103 na Orlando Magic wakiwa ugenini. Denver wamelazimika kujituma zaidi katika mechi nguma za ugenini lakini watajiamini kushindana vikali na San Antonio.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Baada ya robo ya kwanza, walitudhibiti kikamilifu na tatizo kubwa ni kwamba hatukuweza kuzuia mashambulizi yao,” alisema kocha wa Denver baada ya kushindwa na Magic. “Ilikuwa ni kama konde zito mdomoni baada ya robo ya kwanza kwani tulipojaribu walituzima muda hadi muda.”
Historia inaonyesha Spurs na Nuggets wamekutana mara 193 katika mechi za NBA kuanzia msimu 1976-77 huku San Antonio wakishinda mara 119 dhidi ya mara 74 kwa faida ya Denver. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana Oktoba 2021 ambapo Nuggets walishinda wakiwa nyumbani kwa alama 102-96. Nikola Jokic alichangia alama 32 katika mechi hiyo.
San Antonio Spurs v Denver Nuggets – Head-to-head, Regular Season
Mechi: 193
Spurs: 119
Nuggets: 74
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.