Hakimiliki ya picha: Getty Images
Toronto Raptors v Milwaukee Bucks
2021-22 NBA Regular Season
Friday 3 December 2021
Scotiabank Arena, Toronto, Ontario
Tip-off at 03:30
The Toronto Raptors na Milwaukee Bucks watachuana katika mechi kali ya NBA itakaochezewa Scotiabank Arena Toronto, Ontario asubui ya Ijumaa Disemba 3 2021 03:30 majira ya Afrika ya kati.
The Raptors wamekuwa na matokeo mabaya kutokana na majereha na sasa wanajipata pabaya katika msimamo wa Eastern Conference. Wikendi iliyopita, walipoteza mechi dhidi ya Indiana Pacers kwa 114-97.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Hatujawa na mchezo mzuri siku za hivi karibuni. Tumecheza kama tusiojielewa,” alisema kocha wa Raptors Nick Nurse. “Tumekuwa na wachezaji wengi wenye majeraha na ni lazima tutafute suluhisho.”
“Walikuwa na mchezo mzuri lakini mpira wa mwisho haukufia washambuliaji vizuri,” aliongeza Pascal Siakam.
The Bucks wamekuwa na msimu mzuri hadi kufikia sasa na watanuia kukwea jedwali na kujiunga na viongozi wa Eastern Conference kama vile Brooklyn Nets na Chicago Bulls. Milwaukee wana mpango wa kuendeleza msururu wa matokeo bora hasa baada ya kuwashinda Denver Nuggets kwa 120-109 wikendi iliyopita. Katika mechi hiyo, Khris Middleton alifikisha alama elfu kumi binafsi.
"Sina sababu yoyote ya kusema hivyo lakini nahisi ilikuwa rahisi,” alisema Jrue Holiday baada ya ushindi dhidi ya Denver ambapo alichangia alama kumi na sita. “Nailinganisha na mechi ya kwanza ambayo nilifurahia kucheza. Changamoto tulizozipata zilitujenga na kuchangia hadi tulipo sasa.”
Takwimu zinaonyesha kwamba Raptors na Bucks wamekutana katika mechi 95 za msimu wa NBA tangu mwaka 1995-96. Milwaukee wameshinda mara 54 ilhali Toronto wameshinda mara 41. Mara ya mwisho timu hizi kukutana katika mechi ya msimu ilikuwa Februari 2021 ambapo Raptors walishinda 110-96 ugenini huku Norman Powell akichangia alama 29.
Takwimu baina ya Toronto Raptors na Milwaukee Bucks katika mechi za msimu wa NBA
Games played: 95
Raptors wins: 41
Bucks wins: 54
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.