Nets kutonesha zaidi kidonda cha 76ers


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Brooklyn Nets v Philadelphia 76rs 

Barclays Center 
New York, USA
Friday, 17 December 2021 
03h30 
 
Brooklyn Nets watamenyana na Philadelphia 76ers katika mechi ya ligi ya NBA mnamo Disemba 17. 
 
Hii itakuwa ni mara ya 205 timu hizi kukutana katika mechi za kawaida za ligi ya NBA tangu mwaka 1976. 
 
76ers wameonyesha ubabe wao kila timu hizi zinapokutana huku ikiandikisha ushindi mara 118 dhidi ya 86 kwa faida ya Nets.

Kevin Durant
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Mechi ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa Oktoba 23 2021 katika uwanja wa Wells Fargo Center, ambapo Nets walishinda 114-109. 
 
Kwa sasa Nets wanaongoza msimamo wa Eastern Conference baada ya kurekodi ushindi mara 19 na kushindwa mara 8.
 
Walipoteza 111-107 dhidi ya Chicago Bulls katika mchezo wao wa mwisho nyumbani uliochezwa Disemba 5. Hii ilikuwa mechi ya pili kushindwa katika mechi nne za mwisho uwanjani Barclays Center. 
 
Wakiwa katika nafasi ya sita katika msimamo wa Eastern Conference, 76ers wameshinda mechi 15 na kushindwa mechi 12.

Joel Embiid
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Katika mechi yao ya mwisho ugenini ya Disemba 14, 76ers walishindwa na Memphis Grizzles126-91. Matokeo hayo yalivunja msururu wa mechi nne za ugenini za 76ers bila kushindwa.
 
“Tusahau yaliyofanyika katika mechi hii na tujiandae kwa mechi zijazo,” alisema kocha wa 76ers Doc Rivers baada ya kushindwa na Grizzles. 
 
“Nafikiri tulipoteza hari na mwelekeo katika nyakati za mwisho. Inashangaza kwa sababu hadi kufikia nusu ya mchezo asilimia 54 lakini hatukuweza kuzuia mashambulizi. 
 
"Nahisi walikuwa na alama 100 kuelekea katika robo ya nne. Huwezi kushinda katika mechi katika hali hii. Tutajiandaa kwa mechi zinazokuja.” 
 

Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano zilizopita, NBA

 
Mechi - 5
Nets - 2
76ers - 3
Sare - 0 

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 12/15/2021