Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 English Premier League
Matchday 17
Leicester City v Tottenham Hotspur
King Power Stadium
Leicester, England
Thursday, 16 December 2021
Kick-off is at 22h30
Leicester City watapania kushinda
mechi ya ligi nyumbani dhidi ya Tottenham Hotspur kwa mara ya tatu ndani ya miaka saba ugani King Power Disemba 16.
Leicester wamekuwa na wakati mgumu kupata ushindi wakiwa nyumbani dhidi ya Spurs huku ushindi wa mwisho ukija Septemba 2019 ikiwa ni ushindi wa pili tangu 2014.
Spurs wamekuwa na mawindo mazuri wakiwa ugenini dhidi ya Leicester ndani ya mechi saba wakiwa wamefunga magoli 17 na kupata ushindi mkubwa ikiwa ni pamoja na 6-1 mwaka 2017 ambayo ni rekodi ya klabu hiyo.
Ushindi mkubwa wa nyumbani wa Leicester dhidi ya Tottenham ulikuwa mwaka 1935 ambapo walishinda kwa mabao sita kwa bila.
Msimu uliopita, Spurs walishinda 4-2 ugenini dhidi ya Leicester nao Leicester wakashinda mechi ya mkondo wa pili 2-0 dhidi ya Tottenham ugenini.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mlinzi wa Leicester Luke Thomas anasema bahati haiajawa upande wao msimu huu lakini muda upo wa kutafuta suluhu ya changamoto zinazowakumba.
"Tumekuwa na msimu usio mzuri hadi sasa. Tunafahamu kuwa tuna uwezo wa kubadilisha matoke ohayo haraka na kuanza kupata ushindi,” alisema Thomas katika mahojiano na LCFC TV.
"Tumefikia nusu ya msimu na tuna imani nusu iliyobaki tunaweza kufikia malengo yetu msimu ufikapo mwisho.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Huku Antonio Conte akifurahishwa na mashabiki kumshangilia walipoishinda Norwich kwa mabao matatu hivi majuzi, raia huyo wa Italia anahisi kuna kibarua kuendelea kuwafurahisha zaidi.
"Ukweli nawashukuru sana mashabiki walionishangilia na kutaja jina langu,” alisema Conte. “inanipa moyo sana na nafurahi kwa hilo.
"Nahisi nina mengi ya kuwafanyia mashabiki wetu. Wanaamini sana kazi tunayoifanya na ilikuwa raha kusikia jina langu hasa ukizingatia nilikuja mwezi mmoja uliopita. Pengine ni mapema kupata ushabiki wa aina hii lakini nafikiri kuna mengi ya kuafikia.
"Kwa siku za usoni nataka kuonyesha kwamba kila ninachokipata nastahili. Matokeo mazuri pia huchangia lakini nataka mashabiki kufurahia kazi yangu na mchango wangu kwa klabu hasa katika hali hii.
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za ligi za mwisho
Mechi - 5
Leicester - 2
Tottenham - 3
Sare - 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.