Bucks kuendelea kutetea taji dhidi ya Celtics


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 National Basketball Association (NBA) season

Regular Season

Milwaukee Bucks v Boston Celtics 

Fiserv Forum 
Milwaukee, USA
Saturday, 25 December 2021 
22h30  
 
Disemba 25 Milwaukee Bucks itamenyana na Boston Celtics katika mechi ya NBA.
 
Hii itakuwa ni mechi ya 222 baina ya timu hizi mbili katika msimu wa kawaida tangu mwaka 1968.
 
Celtics wamekuwa wababe kila wanapokutana na Bucks kwani wameshinda mara 114 dhidi ya mara 107 ya Bucks.

Jayson Tatum
Hakimiliki ya picha: Getty Images

 
Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa Disemba 14 TD Garden ambapo mchezo uliishia 117-103 kwa ushindi wa Celtics.
 
Ushindi huu wa Celtics ulikuwa wa tatu mfululizo dhidi ya Bucks ikiwa ni pamoja na ushindi wa 122-113 wa Novemba 13. 
 
Mabingwa watetezi wa NBA, Bucks waliishinda Celtics mara ya mwisho 121-119 mnamo Machi 25 wakiwa nyumbani. 
 
Kwa sasa Bucks wapo nafasi ya tano katika jedwali la Eastern Conference baada ya kupata ushindi mara 19 na kushindwa mara 13 huku wakifukuzana na viongozi wa ligi hiyo.
 
Kwa upande mwingi, the Celtics wapo katika nafasi ya nane jedwali la Eastern Conference baada ya kushinda mechi 15 na kushindwa 15 huku wakiendelea kuandikisha matokeo mesto. 

Mike Budenholzer
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
The Bucks walishindwa wakiwa nyumbani 119-90 na Cleveland Cavaliers Disemba 19 ambayo ni mechi ya pili mfululizo kushindwa. 
 
Kocha mkuu wa Bucks Mike Budenholzer alielezea sababu za kuwaacha nje wachezaji Jrue Holiday na Grayson Allen katika kikosi kilichocheza.
 
 “Wachezaji hawa wamecheza mechi nyingi. Wametusaidia sana hata jana usiku. Wamekuwa nasi. Timu nzima ilijituma sana,” aliwaambia wanahabari Budenholzer.
 
 “Nimefurahishwa sana na wachezaji waliocheza. Walijituma sana.”
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho, NBA 

Mechi - 5
Bucks - 1
Celtics - 4
 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 12/22/2021