Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Playoffs - First Round - Game 1
Philadelphia 76ers v Brooklyn Nets
Wells Fargo Center
Philadelphia, USA
Saturday, 15 April 2023
20h00
Philadelphia 76ers watacheza dhidi ya Brooklyn Nets katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu
National Basketball Association (NBA) mnamo Aprili 15.
Matokeo baina ya timu hizi
Timu hizi zitakuwa zinakutana kwa mara 13 baina yao kwenye mechi za muondoano tangu mwaka 1979.
The 76ers wameshinda mechi 8 kati ya 12 ukilinganisha na mara 4 kwa faida Nets.
Mechi ya mwisho baina yao.
Nets walipoteza 134-105 dhidi ya 76ers kwenye mechi hiyo iliyochezewa ukumbini Barclays Center Aprili 9 2023 licha ya Cam Thomas kuwafungia alama 46.
Athari ya matokeo ya mechi hii.
Mshindi wa mechi hii baina ya 76ers na Nets atakabiliana na Boston Celtics au Atlanta Hawks kwenye nusu fainali ya michezo ya Eastern Conference.
Lengo la timu ya the 76ers ni kushinda taji la NBA kwa mara ya nne huku the Nets wakitarajia kushinda taji hilo kwa mara ya kwanza msimu huu.
Wachezaji muhimu
Joel Embiid amekuwa na mchango mkubwa kwa timu ya 76ers msimu huu na wengi wanatarajia kuwa atashinda tuzo la mchezaji bora (MVP) wa ligi hiyo msimu huu.
Kwa mara nyingine tena, The Nets wataweka matumaini yao kwa Thomas aliyewapatia alama 46 katika mechi ya kwanza licha ya kupoteza.
Nukuu
“Sharti uwe na wachezaji wazuri ili kushinda ligi,” alisema kocha wa 76ers Doc Rivers alipoulizwa kuhusu mchezo wao dhidi ya Nets ambao wamemtoa Kevin Durant na kumleta Kyrie Irving.
"Sio lazima uwe na wachezai nyota ili kushinda msururu. Hayo ni mambo mawili tofauti. Ni lazima ujiandae. Msururu wa mechi za muondoano huibua wachezaji nyota.
"Baada ya msimu huu, wataibuka wachezaji nyota watatu au wanne ambao hatuwajui hadi sasa hivi.”
Ratiba ya mechi za muondoano, NBA.
Aprili 15 Jumamosi
8:00pm - Philadelphia 76ers v Brooklyn Nets
10:30pm - Boston Celtics v Atlanta Hawks
Aprili 16 Jumapili
13:00 Usiku - Cleveland Cavaliers v New York Knicks
03:30am - Sacramento Kings v Golden State Warriors
10:00pm - Memphis Grizzlies v Los Angeles Lakers
Shinda na Kombe la Dunia
Dunia imekusanyika kushuhudia michuano bora zaidi ya soka. Ingia kwenye Droo yetu ya Kila Siku ya Mechi ujishindie TSh 500,000 na ufurahie Free Predictor.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.