Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 MotoGP World Championship
2022 Spanish Grand Prix
Circuito de Jerez-Angel Nieto
Jerez, Spain
Sunday, 1 May 2022
Bingwa mtetetezi wa mbio za pikipiki,
MotoGP duniani Fabio Quartararo anatazamia kushinda mbio za Spanish Grand Prix Jumapili Mei 1.
Mfaransa huyo alimaliza kwenye nafasi za jukwaani kwa mara ya pili katika mbio tano zilizopita alipoibuka na ushinda wa Portuguese Grand Prix. Huu ulikuwa ni mwaka wa pili kushinda Portuguese Grand Prix, awali akimaliza P2 mbio za Indonesian Grand Prix.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Quartararo na Alex Rins wa Team Suzuki Ecstar wanashikilia nafasi ya kwanza kwa pamoja kwenye jedwali la waendeshaji ikiwa ni alama tatu mbele ya Aleix Espargaro wa Aprilia Racing anayechukua nafasi ya tatu.
Mwendeshaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ana uzoefu na uwezo wa kupata matokeo mazuri kwenye mkondo wa Jerez baada ya kuibuka na ushindi hapo hapo Circuito de Jerez-Angel Nieto mwaka 2020.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mwendeshaji huyo anayewakilisha Monster Energy Yamaha alikiri kuwa siri ya mafanikio ya wikendi iliyopita ni kuanza kwa kasi kwani ingekuwa kazi kubwa kushindana na Ducati iwapo angeanza pole pole.
"Nilijituma sana ili kupata ushindi,” alisema Quartararo. I managed to win by pushing myself to the limit," Quartararo said. "Nilijihisi vizuri leo tangu mwanzo. Nilianza mbio vizuri sana, kwa kasi.
"Nilikuwa na kasi tangu mwanzo kwa sababu nilifahamu itakuwa vigumu tukiwaruhusu Ducati kuwa mbele yetu.
"Nina furaha sana kupata ushindi wangu wa kwanza wa msimu. Ndilo jambo muhimu kwangu. Kutokata tamaa.”
Matokeo ya Portuguese Grand Prix 2022
Mshindi: Fabio Quartararo - Monster Energy Yamaha
Nafasi ya pili: Johann Zarco - Pramac Racing
Nafasi ya tatu: Aleix Espargaro - Aprilia Racing
Bashiri Motosport na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni soka, motorsport, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.