Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 UEFA Champions League
Semi-Final - First-Leg
Manchester City v Real Madrid
Etihad Stadium
Manchester, England
Tuesday, 26 April 2022
Kick-Off 21h00
Real Madrid atakuwa mgeni wa Manchester City kwenye mechi ya nusu fainali mkondo wa kwanza,
UEFA, Aprili 26 ugani Etihad.
Mabingwa hao wa zamani wa La liga walifuzu nusu fainali kwa kuishinda Chelsea jumla ya mabao 5-4 katika mechi mbili hawamu ya robo fainali.
Madrid walishindwa na Chelsea kwenye mechi ya mkondo wa pili muda wa kawaida Aprili 12 na kupoteza msururu wa mechi mbili bila kushindwa kwenye shindano hili.
Madrid walishinda Chelsea kwenye mechi yao ya mwisho ugenini ya shindano hili baada ya kupoteza mechi ya awali ya ugenini dhidi ya PSG ya Ufaransa.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mabingwa mara 13 wa ligi ya UEFA Madrid wamefika hatua ya nusu fainali ya shindano hili kwa mara ya 31, ambayo ni rekodi.
Mara ya mwisho Madrid kuingia nusu fainali ilikuwa msimu jana ambapo waliondolewa na washindi Chelsea kwa jumla ya mabao 3-1.
“Real Madrid wana uwezo, historia na utamaduni wa kushindana katika kiwango cha juu. Manchester City ambayo ni timu kubwa ndiye mpinzani wetu,” alisema meneja wa Madrid Carlo Ancelotti.
“Shindano hili limekuwa la kusisimua sana baada ya kubadilishwa kwa kanuni ya goli la ugenini ambalo lilikuwa likihesabika kama mabao mawili.
“Nina bahati sana kuwa na kikosi kilicho na talanta na kinachofuata na kusikiliza maagizo yangu. Nawashukuru viongozi wa Madrid kwa kunipa nafasi ya kukinoa tena.” the opportunity to train this team again.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mara ya mwisho City kuwa mwenyeji wa Madrid kwenye shindano la UEFA ilikuwa Agosti 7 2020.
The Citizens walipata ushindi wa 2-1 katika mechi hiyo ya mkondo wa pili hawamu ya makundi iliyochezewa Etihad Stadium ambayo pia inajulikana kama City of Manchester Stadium uliopo jijini Manchester.
City walifuzu kuingia robo fainali baada ya kupata ushindi wa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya Madrid.
Takwimu baina ya timu hizi, ligi ya mabingwa
Mechi - 6
City - 2
Madrid - 2
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.