Kombe la Dunia la Wanawake limeanza na msisimko wa aina yake haijawahi tokea. Mchezo wa ufunguzi kati ya mwandaaji New Zealand na Norway ulishuhudiwa na watazamaji 42,000 ni rekodi nyingine kwa nchi. New Zealand ilitupa walitupa mechi kali ya ufunguzi pamoja na kushinda 1-0 tulishuhudia soka la kuvutia, pasi na kosa kosa za kutosha.
Wakati michuano inaendelea, tutashuhudia magoli mengi na udambwi udambwi kwenye soka la wanawake haijawahi tokea.
Tabiri Kombe la Dunia la Wanawake na Betway
Betway haijawahi kulala kwenye michuano yoyote. Wateja wanafurahia kubashiri soka la wanawake sambamba na promosheni “Clash of Queens”. Kwa kubashiri TSh 2,000 kwenye Kombe la Dunia la Wanawake, wateja wataweza kutabiri kila hatua kwenye michuano hiyo ili kupata nafasi ya kushinda vifaa vya sebule.
Kadri unavyoweka bashiri kwa TSh 2,000, ndivyo unavyopata nafasi ya kutabiri kila hatua kwenye promosheni ya Betway.
NI wakati wa Afrika kwenye Kombe la Dunia la Wanawake
South Africa, Nigeria, Morocco na Zambia zote zinaonekana kama timu dhaifu, huku Betway inaendelea kumwaga odds kubwa 475 kushinda. Japokuwa, una nafasi ya kupiga mkwanja kwa kusapoti timu za Afrika.
Super Falcons wanakundi gumu, lakini angalu wameweza kupata sare dhidi ya Canada na Ireland na wamepata ushundi dhidi ya Australia. Wameingia kwenye michuano bila taji la WAFCON, lakini wanaweza kuwa na kiu ya kufanya vizuri zaidi.
Copper Queens wa Zambia ni moja ya timu inayochipukia kwenye soka la wanawake, ilishiriki kweye michunao ya Olympik Tokyo 2020. Pamoja na kuanza vibaya kwa kufungwa 5-0 na Japan na Hispania ila wamefanikiwa kupata ushindi wa 3-1 dhidi ya Costa Rica. Shughuli yao sio ndogo kwani wameweza kuzifunga timu kama Senegal, Tunisia na Nigeria kwenye Wafcon.
Upo tayari kwa Kombe la Dunia la Wanawake?
Shiriki na beti TSh 2,000 kwenye
Kombe la Dunia la Wanawake, upate tiketi ya kutabiri na ushinde Vifaa vya Sebuleni.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.