Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 The Northern Trust
US PGA Tour
TPC Southwind
Memphis, Tennessee, USA
11-14 August 2022
Shindano la gofu la The 2022
Northern Trust linatarajiwa kung’oa nanga TPC Southwind, Memphis, Tennessee, Marekani kati ya tarehe 11 na 14 Agosti.
Shindano hili liliasisiwa mwaka 1967 huku lilifahamika kama The Barclays awali na ni shindano la PGA ambalo hufanyika katika ya New York City na Boston.
Shindano hilo lilihamia Tennessee msimu 2021–22, FedEx akiwa mdhamini mpya na litakuwa likiitwa FedEx St. Jude Championship.
Baadhi ya wachezaji wakubwa duniani wameshinda taji hilo la The Northern Trust akiwemo Sergio García, Adam Scott, Jason Day, Matt Kuchar, Patrick Reed, Dustin Johnson na bingwa wa 2018 Bryson DeChambeau.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Bingwa wa sasa ni Tony Finau ambaye alishinda shindano la mwaka 2021 alipomshinda Cameron Smith kwenye mechi ya muondoano Liberty National Golf Club, Jersey City, New Jersey.
Uwanja huo utakuwa na wachezaji 125 kwa msimu wa kawaida na litachezwa kwa siku nne.
Miongoni mwa washiriki wa mwaka huu watakuwa Finau, Rory McIlroy, Scottie Scheffler, Cameron Smith, Xander Schauffele, Patrick Cantlay, Justin Thomas na Cameron.
Zawadi ya pesa ya shindano hili itakuwa dola milioni 15 za kimarekani na wachezji wanaoshikilia nafasi za juu kwenye jedwali rasmi la dunia la gofu wanapigiwa upatu kushinda taji hili.
“Baada ya kukamilika kwa shindano moja kubwa la mwaka sasa tunaingia lingine,” alisema Joe Tomek ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa shindano la FedEx St. Jude Championship.
"Sehemu ya kusisimua kwa wachezaji inageukia katika michuano ya mchujo.
“Hali itakuwa ya kusisimua hapa. Kwa mfumo wa shindano hili, ni walio na alama za FedExCup watakaofuzu,” aliongezea.
"Hakuna upendeleo wa aina yoyote. Watakaoshiriki ni wachezaji wa nafasi za kwanza 125.”
Vijay Singh ndiye mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika historia ya shindano hili la The Northern Trust ikiwa ameshinda mwaka 1993, 1995, 2006 na 2008.
Washindi watano wa mwisho wa The Northern Trust
2017 - Dustin Johnson - Marekani
2018 - Bryson DeChambeau - Marekani
2019 - Patrick Reed - Marekani
2020 - Dustin Johnson - Marekani
2021 - Tony Finau - Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.