27/01/2025 11:39:50
Yanga itaanza mechi za duru la pili la Ligi Kuu Bara kwa kula kiporo dhidi ya Kagera Sugar wikiendi ijayo kabla ya kucheza mechi nyingine ndani ya Februari na kusubiri kuja kuvaana na watani wao, Simba katika Dabi ya Kariakoo itakayipigwa Machi 8, likiwa pambano la kwanza