Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Ligi kuu ya Italia-Serie A
Wiki ya 4
Juventus FC v AC Milan
Allianz Stadium
Torino, Italia
Jumapili, Septemba 19, 2021
Inaanza 21h45
Juventus itapimana nguvu na wababe wenzao AC Milan mechi ya ligi kuu ya
Italia Serie A Jumapili tarehe 19 Septemba katika uwanja wa Allianz.
Juve walifungwa 2-1 na Napoli ugenini mechi ya mwisho waliyocheza mnamo Septemba 11.
Kwa kupoteza mechi hiyo Juventus wamefikisha idadi ya mechi tatu mfululizo bila kupata ushindi kwa sababu wameandikisha sare moja na kushindwa mechi mbili mtawalia.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Juventus wamepoteza mechi tatu za nyumbani za karibuni kwenye Serie A, na mechi nyingine moja wakapata ushindi dhidi ya Inter Milan.
"safu yetu ya ulinzi ilikuwa nzuri sana leo, tofauti na tulivyocheza na dhidi ya Udinese na Empoli," meneja wa Juventus Massimiliano Allegri alisema punde baada ya kupoteza dhidi ya Napoli.
Sina malalamiko yoyote kuhusu wachezaji wangu. Mchezo uliamuliwa na makosa fulani nyakati tofauti. Bila shaka tunahitaji kuimarika kiufundi.
"Hii ni kwa sababu tulizembea na tungefunga goli lingine katika nusu ya kwanza lakini tulicheza kwa nia. Napoli wanastahili pongezi kwa ushindi huo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Wakati huo huo, Milan walipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio nyumbani mechi ya mwisho waliyocheza mnamo Septemba 12.
Kutokana na matokeo hayo, Rossoneri hawajapoteza mechi nane walizocheza katika ligi hiyo wakiwa wameandikisha sare moja na kupata ushindi mara saba.
Milan pia hawajapoteza katika mechi nne za ugenini walixzocheza karibuni katika ligi, kwani wameshinda mechi nne mtawalia sawa na wageni wao.
Mara ya mwisho Juventus na AC Milan kukutana ilikuwa tarehe 9 Mei, 2021.
Milan waliwazidi nguvu Juve wakawafunga 3-0 katika uwanja wa Allianz.
Takwimu: (Mechi tano zilizopita)
Mechi - 5
Juventus - 3
Milan - 2
Sare- 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwe