Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021 Africa Cup of Nations (AFCON)
Round of 16
Ivory Coast v Egypt
Stade Omnisport de Douala
Douala, Cameroon
Wednesday, 26 January 2022
Kick-off is at 19h00
Ivory Coast itachuana na Misri katika mtanange mkali wa raundi ya 16 wa
kombe la mataifa bara Afrika mnamo Januari 26 2022.
The Elephants walishinda kundi E wakifuatiwa katika nafasi ya pili na Equitorial Guinea.
Ivory Coast waliwatandika mabingwa watetezi Algeria 3-1 huko Douala katika mechi ya mwisho ya makundi Januari 20.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Ivory Coast wameshinda mechi mbili kati ya tatu katika mashindano haya huku wakipata sare moja.
“Ushindi wa leo umeonyesha umoja katika timu hii ya Ivory Coast,” Frank Kessie alisema baada ya ushindi dhidi ya Algeria.
"Tilipambana na kushinda mechi hii kwa pamoja. Hatukuwa tumejiandaa kwa mashindano haya vilivyo lakini tunaendelea kupata kasi.
"Mwanzo ulikuwa mgumu lakini tutaendelea kuimarika kadri mashindano yanavyoendelea.”
Kwengineko, Misri walifuzu mechi za roundi ya 16 baada ya kuibuka katika nafasi ya pili ya kundi D nyuma ya Nigeria.
The Pharaohs walipata ushindi mwembamba dhidi Sudan wa 1-0 katika mechi ya mwisho ya kundi hilo huko Yaounde Januari 19.
Kwa sasa Misri wameandikisha ushindi katika mechi mbili dhidi ya Guinea-Bissau na Sudan.
Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa Januari 14 2013.
Ivory Coast walishinda 4-2 katika mechi hiyo ya kirafiki iliyochezewa Al Nahyan Stadium Milki za kiarabu.
Takwimu baina ya mataifa haya katika mechi tano zilizopita.
Mechi - 5
Ivory Coast - 1
Egypt - 3
Sare - 1
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.