Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Phoenix Open
US PGA Tour
TPC Scottsdale - Stadium Course
Scottsdale, Arizona, USA
10-13 February 2022
Mashindano ya golfu ya
Phoenix Open 2022 yanatazamiwa kuchezwa kati ya tarehe 10 na 13 Februari, TPC Scottsdale - Stadium Course Arizona nchini Marekani.
Mashindano ya mwaka huu yataadhimisha mkondo wa 87 wa shindano hili ambalo ni moja kati ya mashindano ya zamani sana ya PGA Tour, na kuwa mkondo wa 12 kama Waste Management Phoenix Open kutokana na sababu za udhamini.
Kutokana na utulivu wa mazingira ya shindano hili na viwango vya juu vya uandaaji wa shindano lenyewe umepelekea shindano hili kupewa jina la utani The Greatest Show on the Grass.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Brooks Koepka ndiye bingwa mtetezi wa Phoenix Open baada ya kushinda shindano hilo mwaka jana.
Kuna uwezekano shindano hili litaingia katika historia kwa kuwa na ushindani mkali kwani litajumuisha wachezaji mahiri na washindi wa hivi karibuni wa mashindano ya PGA wakishiriki shindano la The Greatest Show on Grass.
Hideki Matsuyama, Louis Oosthuizen, Harris English, Hudson Swafford and Luke List ni baadhi ya wachezaji waliodhibitisha kushiriki.
Shindano litajumuisha wachezaji sita waliopo kumi bora, 14 waliopo 20 bora na nusu yao waliopo 50 bora katika jedwali la dunia la golfu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“The Thunderbirds wanajivunia sana kuandaa shindano hili na ardhi ya kimataifa na mwaka huu linatazamiwa kuwa moja kati ya mashindano bora,” alisema mwenyekiti wa shindano la 2022 Phoenix Open Dr. Michael Golding.
“Tuna furaha sana kuwakaribisha sio nusu tu ya wachezaji waliopo katika kumi bora duniani na hamsini bora duniani, bali washindi wa zamani wa WM Phoenix Open, washindi wa Major, washindi wa FedExCup na vile vile nyota wa PGA wanaoibukia. Tuna tamaa ya kushuhudia uwezo wao TPC Scottsdale.”
Arnold Palmer ndiye mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika historia ya mashindano ya Phoenix Open na ameshinda shindano hili mara tatu.
Washindi 5 wa mwisho wa Phoenix Open
2017 - Hideki Matsuyama - Japan
2018 - Gary Woodland - Marekani
2019 - Rickie Fowler - Marekani
2020 - Webb Simpson - Marekani
2021 - Brooks Koepka - Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.