Milan kukwaruzana na Empoli


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 Italian Serie A

Matchday 19

Empoli v AC Milan

Stadio Carlo Castellani
Empoli, Italy
Wednesday, 22 December 2021
Kick-off is at 22h45
 
AC Milan wanapania kuendeleza matokeo mazuri dhidi ya Empoli watakapokutana katika mechi ya ligi mnamo Disemba 22 uwanjani Stadio Carlo Castellani.
 
Mchezo wa hivi karibuni baina ya timu hizi uliishia kwa ushindi wa Milan wa 4-0 wakiwa nyumbani katika msimu 2018/19 baada ya mchezo wa kwanza kutoka sare ya 1-1.
 
Empoli walishinda Milan 2-1 Aprili ya 2017 kabla ya kushushwa daraja mwezi uliofuata.
 
Katika mechi kumi zilizopita, Milan wameshinda mechi nne huku Empoli wakishinda mechi mbili.

Stefano Pioli
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Stefano Pioli anasema kuwa timu yake imejifanyia mambo kuwa magumu katika mechi za hivi karibuni kwa kufanya makosa ya ovyo na anatumaini watarekebisha mechi zijazo.
 
"Ukweli ni kwamba magoli manne au matano tuliyofungwa yametokana na makossa yetu nyakati za mwisho wa mechi,” alisema Pioli.
 
"Hali hii inafanya mambo kuwa magumu hasa kwa baadhi ya wapinzani wanaotumia nguvu nyingi katika mchezo wao.”

Aurelio Andreazzoli
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Empoli wamekuwa namatokeo mazuri katika mechi chache zilizopita lakini kocha wao ameonya kuwa sharti waendelee hivyo hivyo ili kuepuka kushushwa daraja.
 
"Lengo letu kubwa ni kuepuka kushushwa daraja. Lazima tuwe na uhakika,” We have a target: salvation. We have to rest assured," alisema Andreazzoli. "Tunajivunia mafanikio hadi sasa ila kuna kazi kubwa mbele yetu.”
 

Takwimu baina ya Milan na Empoli katika mechi tano za mwisho za ligi.

Mechi - 5
Empoli - 1
AC Milan - 2
Sare - 2



Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 12/15/2021