Chomoka na Odds na Betway


Utajisikiaje ukipokea ujumbe kuwa umeshinda Free Bet au pesa taslimu au uamke na TV, home theatre jiko na mashine ya kufulia vyote vipya kwa kutabiri matokeo ya mechi tu.
 
Msimu wa soka umerudi na Betway hatuachi kitu, tumekueletea promosheni ya Chomoka na odds kwa msimu wote wa soka 2022/23 jishindie mamilioni ya zawadi.
 
Kuwa kinara katika msimamo na ujishindie pesa taslimu, Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
 
Tabiri Matokeo Mechi ya (1X2) na jumla ya odds zako zitawekwa kama pointi kwenye msimamo. Ukichagua kuongeza utabiri wako kwenye mkeka na kuweka ubashiri, pointi zako zitaongezeka mara mbili.
 
Ikiwa utabiri wako ni sahihi, jumla ya odds zako zitaongezwa kwenye jumla ya pointi zako kwenye msimamo na ikiwa utabiri wako wowote si sahihi, jumla ya odds zako zitapunguzwa kutoka kwenye jumla ya pointi zako kwenye msimamo.
 
Ni nafasi yako kushinda zaidi na Betway kama sio pesa taslimu basi ni Free Bets au vifaa vya nyumbani.
 
Tembelea ukurasa wa Chomoka na odds kwa maelezo zaidi: https://www.betway.co.tz/beat-the-odds


Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa

Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.

Chomoka na Odds

Published: 08/22/2022