Football

Euro - Uhispania v Ujerumani

05/07/2024 13:38:40

Uhispania hawajapoteza mechi hata moja katika mashindano ya Euro 2024 yananyoendelea

HII HAPA YA BEKI MKONGO ALIYEIKATAA SIMBA KISA YANGA...ENG HERSI ATAJWA A-Z

04/07/2024 00:35:16
Dili la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua...
 

KWA USAJILI WA MASTAA HAWA SIMBA...MSIMU UJAO WAKIKOSA UBINGWA HAWAPATI TENA YANI...

26/06/2024 10:21:38
SAFARI HII Simba hawatanii, katika usajili ndiyo imeanza hivyo kwa kushusha mastaa watatu huku wawili kati yao...
 

AHMED ALLY: MSIMU ULIOPITA TUMECHEZEWA SANA...

25/06/2024 11:27:30
Amewatuliza wanasimba na kuwataka kuwaunga mkono viongozi kwa sasa wapo sokoni kwa ajili ya kufanya usajili

BAADA YA TETESI ZA KUMALIZANA NA YANGA KUZAGAA...DUBE KAIBUKA NA HILI JIPYA...

25/06/2024 10:29:47
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Azam FC ambaye kwa sasa anatajwa kujiunga na Yanga msimu ujao, Prince Dube amesema

'MASHINE HII' IKITUA TU...YANGA MJIANDAE KUKABIDHI UBINGWA KWA SIMBA MSIMU UJAO...

18/06/2024 09:11:36
Imeeleza kuwa Simba imetuma watu wake nchini humo kwenda kuzungumza na kumaliza dili la kumpa nyota huyo na kumfanya kuwa sehemu ya usajili wa Wekundu wa Msimbazi kwa msimu ujao wa mashindano.
 

TRY AGAIN: NAONDOKA LAKINI KUNAWASALITI BADO...NIMEONGEA NA MO DEWJI MARA 10

14/06/2024 11:33:58
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amejiuzulu nafasi hiyo na kumuomba...
 

KWA FUJO HIZI MSIMU UJAO BINGWA NI AZAM FC AISEE...LOMALISA NAYE HUYOO CHAMAZI

10/06/2024 13:42:56
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya uongozi wa Azam FC kimesema mazungumzo baina ya mchezaji huyo yanaendelea vizuri na muda wowote kuanzia sasa watamtangaza

AHMED ALLY: KOMBE LA SHIRIKISHO TUKIENDA VIBAYA TUNAKULA ZA USO MAPEMA TU

10/06/2024 10:22:14
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amewataka mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kuacha kuidharau michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika
 
 

WAKATI YANGA WAKITAKA BIL 1...FEI TOTO AFUNGUKA HAKUNA WA KUMZUIA KWENDA SIMBA

03/06/2024 10:22:59
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa hakuna mtu wa kumzuia kwenda...